Mpenzi wangu ananizidi umri!

Dodoma moja

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
307
177
Mimi ni kijana wa kiume nina mpenz wangu ambaye tunapendana sana na tunatarajia kuoana lakini yeye ni mkubwa kwangu, je hili linawezekana kwa kuwa na mke anaekuzidi umri.
Ushauri wenu wakuu!
 
Mbona ulipokua unamtafuna haukuona kama ni mkubwa kwako? Kama unaelewa maana ya ndoa haliwezi kua tatizo hata kidogo.
 
Hadi hapo umeshindwa kujiamini.

Mbona mademu zangu wote wamenizidi umri?

Naenjoy na maisha yanaenda
 
jiamini mkuu kama mnapendana na kuheshimiana sioni shida yoyote kwa nini msioane
 
Back
Top Bottom