Mpenzi wangu ananizidi umri!

Mpenzi wangu ananizidi umri!

Mimi ni kijana wa kiume nina mpenz wangu ambaye tunapendana sana na tunatarajia kuoana lakini yeye ni mkubwa kwangu, je hili linawezekana kwa kuwa na mke anaekuzidi umri.
Ushauri wenu wakuu!

SHAKIRA ana mzidi GERARD PIQUE miaka 10 kamili tena kamili kabisa coz hata birth day yao ni siku moja. Shakira amezaliwa 2/2/1977 na Pique 2/2/1987.

Hapo ndipo utakapo jiuliza sasa.
 
Dinazarde Vaislay na ICHANA ... Hebu acheni hizi mambo bana. Hili ni jukwaa la Mapenzi Mahusiano na Urafiki... au sio.... kunangana kuwe kidogo but ikichukua masaa kadhaa haipendezi. Ni wazo tu, sio kwa ubaya[/QUOTE

Huyo mkeo wa kufikia Vaislay ananinanga nimwangalie tu kha!!mimi au mwinginee eti jana nilimcheka sasa eti niliee kwelii

Kichuna wangu,unakumbuka nilikuambia Tuko ni nani? haya msikilize...
 
Last edited by a moderator:
Hata siku moja usioe aliekuzidi umri.

Wanaume lazima uwe na sense of power. Na wanawake mara kwa mara wanajisahau na inabidi kuwaweka sawa. Akikuzidi umri utakua chini tu hata kama atakufanya ujihisi una kauli juu yake ila moyoni na akilini udogo upo.

Kumbuka; ukishasita kufanya kitu jua kuwa kitakuwa tofauti na ulichotegemea.

(Wahehe ni exception kwenye hii point. Wana heshima balaa (wa vijijini lakini))
 
Hacha kua serengeti wewe, Em amka utafute binti,,,, 4years???!!., You can't be serious
 
Hiv mtoa mada amesema nini nishasahau ICHANA nikumbushee basii
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde Vaislay na ICHANA ... Hebu acheni hizi mambo bana. Hili ni jukwaa la Mapenzi Mahusiano na Urafiki... au sio.... kunangana kuwe kidogo but ikichukua masaa kadhaa haipendezi. Ni wazo tu, sio kwa ubaya[/QUOTE

Huyo mkeo wa kufikia Vaislay ananinanga nimwangalie tu kha!!mimi au mwinginee eti jana nilimcheka sasa eti niliee kwelii

Ukisema wewe hakuna shaka....Tumekuelewa...

Mkuu Dinazarde mi nimekuja tu kama mwanaMMU ninayefurahia utani na mahusiano "ya hewani" ya huku MMU...
Wanasemaga conflicts are the creators of the society. Vaislay. .. cool down my dear...

Tangu jana jukwaa hiki limepoa kutokana na minyukano yenu.
Mnaonaje kama mmekoseana mkasameheana yakaisha. MMU bila minyukano inawezekana. ..
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo utaacha kuzurula utulie la sivyo tusijuanee tumekutana kimjini mjini tutaachana kimjinimjinii

Kwa niaba ya Vaislay nakuahidi haya mambo yameisha. Ndani na nje ya JF. Vaislay. .. I trust you in this. Kama ni makonzi nidunde tukifika home...
 
Last edited by a moderator:
Kuwa sample yetu ili tujue kama inawezekana au la!

Pia kukujuza,mtaani kwetu kuna mganga anaweza kuongeza na kupunguza umri...kama vipi tupange nije nimpitie shemeji nikampunguze umri ili muwe sawa eti eh?
 
Mimi ni kijana wa kiume nina mpenz wangu ambaye tunapendana sana na tunatarajia kuoana lakini yeye ni mkubwa kwangu, je hili linawezekana kwa kuwa na mke anaekuzidi umri.
Ushauri wenu wakuu!

Mdogo wangu kupendana siku hizi umekuwa msamiati adimu kidogo. Hebu mchunguze tena kidogo... kama kweli ni kupendana, mi sikushauri uuchukulie umri kama kikwazo. Wapo waliooa wadogo kwao but wanateseka vibaya kwenye ndoa zao...
 
Mkuu Dinazarde mi nimekuja tu kama mwanaMMU ninayefurahia utani na mahusiano "ya hewani" ya huku MMU...
Wanasemaga conflicts are the creators of the society. Vaislay. .. cool down my dear...

Tangu jana jukwaa hiki limepoa kutokana na minyukano yenu.
Mnaonaje kama mmekoseana mkasameheana yakaisha. MMU bila minyukano inawezekana. ..
Kwa niaba ya Vaislay na Dinazarde ......Unajua kama mtu anabusara lazima atakufata na kukuambia flani umenikwaza,mnaongea yanaisha,
Mtu asiye na akili anaanza kupayuka na kujichekesha kama malaya mtegoni, Sasa hata ukimya unachosha sometimes, Bora tu tumalizane kiivyo...ila mimi leo nimeshafunga mjadala atakayetaka kuendeleza ataendeleza kwasababu ya akili zake finyu.....
Mi huyu ni bwana mdogo kwangu nadhani unajua hilo,leo nilivyoongea hapa nimeshamsamehe mazima yani..

So nimeshakulu hun wangu,mimi nakuheshim sana wajua hilo,
Heaven on Earth kama utakuwa unatatizo zaidi na mimi naomba unitafute...otherwise am done
 
I am praying this should be the last post from you on this issue
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom