Mpenzi wangu ananizidi umri!

Mpenzi wangu ananizidi umri!

Hakuna sehemu hata moja kwenye vitabu vitakatifu (bible,quran,torah,etc) pameandikwa age differentiation and limit ya watu kuoa au kuolewa bali hufanyika kwa matakwa, mapenzi na chaguzi za wapenzi kulingana na mlinganyo wa tabia, hisia na upendo uliopo miongoni mwao.
Age does not count mkuu wewe oa tu kama kweli mmependana toka rohoni na moyoni.
 
Ungekuwa kweli unamalengo naye kabla haujamgegeda ungemuomba cheti cha kuzaliwa!
 
mkuu hili dudee nilaukwelii asilimia mia
Mwambie mbadilishane umri ili wewe ujione mkubwa kuliko yeye ili kuwawezezesha kuendelea na penzi lenu.


 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Umri sio tatizo kama ana kuheshimu na kukutreat wewe kama mwanaume basi endelea naye lakini kama unaona haupo huru nae just move on with your life.
Lakini sioni kama hii ni sababu labda uwe na sababu nyingine.
Ila huyo ndo angekuwa mzuri full kukuheshimu
 
Mimi ni kijana wa kiume nina mpenz wangu ambaye tunapendana sana na tunatarajia kuoana lakini yeye ni mkubwa kwangu, je hili linawezekana kwa kuwa na mke anaekuzidi umri.
Ushauri wenu wakuu!!!

Mkuu mwili wa mwananke kwa kawaida unawahi kuchoka hivyo kaa ukijua miaka ikianza kusonga huo ukubwa utaonekana na usije kuanza michepuko.
 
Mimi ni kijana wa kiume
nina mpenz wangu ambaye tunapendana sana na tunatarajia kuoana lakini
yeye ni mkubwa kwangu, je hili linawezekana kwa kuwa na mke anaekuzidi
umri.
Ushauri wenu wakuu!

Huna thread nyingine ya kuleta? Mbona ulishaileta ukashauriwa?
 
H.O.E hiv yule shem wetu aliekuzidi 10yr mmefikia wapi jamani? au ubweche teyar umeninyima maana na hamu nao.

haikuwa mim ilikuwa my friend S walifunga ndoa na jamaa na sa hivi wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza
 
Kakuzidi miaka minne tu unaona ni ishu? Huyu hapa chini mbona anaona sawa tu!

AGE-ONLY A NUMBER.jpg
 
We oaa mbona hata humu kuna wanawake wanachukuliwa na vijana wa humu wadogo ,umri ni namba tu mbona
 
Miaka 4 michache, mtaishi ingekua kakuzidi papuchi, yani yako dunchu hapo sawa lakini kama fiti mbona poa tu
 
Back
Top Bottom