Mpenzi wangu ananizidi umri!

Mpenzi wangu ananizidi umri!

Et unamwamkiaga...
Watu humu wako na vituko sana
 
kuna members humu mnadanganya sana watu. sishauri hata kidogo mtu kuoa mwanamke aliyekuzidi umri kwa dunia ya leo.
 
I can take my way. U ar not my type hat Dinazarde anajua
Tatizo kujiachia kwako future yko iko wapi
Au ndo Yale sifa za kijinga na like za watu fb na jf unajiona superstar over the world Khantwe niletee novida

Ngapi...50 au 30?
 
Last edited by a moderator:
Na hili tumbo kama pipa Fanya 30
Raha ya tumbo in top na mkanda juu utanitaka
Hivi ulikuwa unatafuta miwani, uliipata au Dinazrde alikuletea darubini?
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde Vaislay na ICHANA ... Hebu acheni hizi mambo bana. Hili ni jukwaa la Mapenzi Mahusiano na Urafiki... au sio.... kunangana kuwe kidogo but ikichukua masaa kadhaa haipendezi. Ni wazo tu, sio kwa ubaya
 
Last edited by a moderator:
Hadi hapo umeshindwa kujiamini.

Mbona mademu zangu wote wamenizidi umri?
Naenjoy na maisha yanaenda
Kaka ikizidi sana Wa-swahili wanasema ni mno,
Najaribu kuvuta picha,
Usipoangalia mzee unaweza ukafanya hivi;
Mko room, Shika hapa shika pale,.. nyonya hapa nyonya pale, tomasa ,binya biringisha, lambalambalamba.
HALAFU: Mkitaka kuingia mzigoni (main event)
Unamuangalia usoniii,Unagundua sasa unataka umkosee mtu mzima adabu lakini ufanyeje sasa.
Unamwambia "Samahani naomba nikuingile"
Bibie nae, "Bila samahani"
Watoto mna mabalaa nyie.
 
Dinazarde Vaislay na ICHANA ... Hebu acheni hizi mambo bana. Hili ni jukwaa la Mapenzi Mahusiano na Urafiki... au sio.... kunangana kuwe kidogo but ikichukua masaa kadhaa haipendezi. Ni wazo tu, sio kwa ubaya[/QUOTE

Huyo mkeo wa kufikia Vaislay ananinanga nimwangalie tu kha!!mimi au mwinginee eti jana nilimcheka sasa eti niliee kwelii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom