Mpenzi wangu ananizidi umri!

Mpenzi wangu ananizidi umri!

Kaka ikizidi sana Wa-swahili wanasema ni mno,
Najaribu kuvuta picha,
Usipoangalia mzee unaweza ukafanya hivi;
Mko room, Shika hapa shika pale,.. nyonya hapa nyonya pale, tomasa ,binya biringisha, lambalambalamba.
HALAFU: Mkitaka kuingia mzigoni (main event)
Unamuangalia usoniii,Unagundua sasa unataka umkosee mtu mzima adabu lakini ufanyeje sasa.
Unamwambia "Samahani naomba nikuingile"
Bibie nae, "Bila samahani"
Watoto mna mabalaa nyie.

Amenizidi umri mwaka mmoja, mingi hivyo
 
Kuoa mwanamke aliyekuzidi sana umri kwa mwanaume nisawa na kuoa mwanamke anayeelekea kulingana na mama yake. Hivyo hata kwa mwanamke mwenye kutafakari kutosha atajisikia kama anahusiana na mwanake badala ya mpenzie hata kama hajazaa.

Mtume Muhammad alimuoa ni Khadija akiwa mkubwa kwake,anipe tu!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Muoe tu,age is nothing but only numbers

Sawa ila kumbuka hili. Umri na dini ni vitu negligible ila vina madhara makubwa kama mtazamo ni tofauti au kama kuna mmoja ana walakini. Vitu hivi viwili vitakugharimu hapo badae.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom