Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
kwenu simaanishi nyumbani hata kwa dada kwa kaka kwa mjomba kwa shangaz hasa ukizingatia we n mtoto wa kikeNin
Ningekua na kwetu ningesharudi sikunyingi tu navyokwambia sina pa kwenda niamini ni vile tu siwezi kuweka wazi kilakitu humu
Ina mana mjini huko we mgeni?? Sasa tukushaurije uendelee kustahamili matusi? Kuna siku utakuja kufukuzwa kama mbwa alete mwengine ukishuhudia thaman yako haioni.

kumbee kizeze.
.