finnest
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 834
- 1,240
Watu wanasema kirahis tu eti uondoke....
Kama hakupigi usiondoke komaa hapo hapo kwan matusi yanaua ? anza kuyazoea mdogo mdogo ,umemaliza shule tafuta hata ajira ya laki 4 hizi utapata fasta kuliko kusubir za mamilion ....bwana wako akikuona unaenda kazin ataanza kukuheshimu
Hayo matusi ni stress tu + anaona una
umekua mzigo !!!!!

kumbee kizeze.
.