Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,826
"Nsubiri nipate kazi ndo niondoke" ....... Kumbe hata naww umetega ? .
Natania...Anakutukana akiwa katika hali ipi?? Ni chapombe?? .
Huna pa kwenda?
... Ndo kutaka Kuendelea kuishi mjini??.
Sasa basi, ili kuondoa lawama, asije kukulaumu wakat ambao umemuacha sababu unepata kazi, ni vema ufanye maamuzi ya kuondoka katika wakat huu huu ambao Unanyanyaswa na kutukana .
Ukija ondoka sababu umepata kazi, itaonekanaga wee ni mdada usokua na Fadhila wala shukran . Na watu hawataona kua ulikua ukitukanwa.
Yes life ni gumu mno , usione mbwembwe za humu ukazitaman , life ni gumu sana , Rudi kwa wazazi mdada, Wakat huo ukipigana .
Natania...Anakutukana akiwa katika hali ipi?? Ni chapombe?? .
Huna pa kwenda?
... Ndo kutaka Kuendelea kuishi mjini??.Sasa basi, ili kuondoa lawama, asije kukulaumu wakat ambao umemuacha sababu unepata kazi, ni vema ufanye maamuzi ya kuondoka katika wakat huu huu ambao Unanyanyaswa na kutukana .