Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Achana nae halafu in the future usikubali kukaa na mtu mleviYes ni mlevi sn yani anakunywa sn pombe. Akilewa ndo nakesha natukanwa.
Achana nae halafu in the future usikubali kukaa na mtu mleviYes ni mlevi sn yani anakunywa sn pombe. Akilewa ndo nakesha natukanwa.
Duh! Pole sana, am touched. Naomba ntafute PM. I will see what I will be able to doNin
Ningekua na kwetu ningesharudi sikunyingi tu navyokwambia sina pa kwenda niamini ni vile tu siwezi kuweka wazi kilakitu humu
Una roho nzuri. Big up!Duh! Pole sana, am touched. Naomba ntafute PM. I will see what I will be able to do
Angalau Leo swali linalohusu wale wadudu wanaokaa kwenye maji hukuuliza.Kwa kifupi kabisa ni kwamba sasa hivi hakupendi tena,amekuchoka,ameshajua kuwa yeye ndiye mungu wako na huenda ana kademu pembeni tayari!......Sepa zako,you have to find a way against all odds!
Yaani sometimes I feel so guilty anapotokea mwana akamnyanyasa mwanamke. The easiest and safest way kama umemchoka mtu si umuache tu kwa amani?? Unamdhalilisha na kumtukana ili iweje ?? Noma sana and it's not fairUna roho nzuri. Big up!