Mpenzi wangu amechepuka, natamani kumkomesha

Mpenzi wangu amechepuka, natamani kumkomesha

Tangu lini Ikulu wakashare watu wawili banaaaa. Hebu fikiria Mzee RUKHSA na Sizonje wawe wana share Ikulu! Mbona itakuwa shida! Ikulu anatinga mtu mmoja tu.

Mkuu unaweza kusamehe ukigundua kuna mtu unashare nae Ikulu?
 
tafuta dem mwingine tu na usimshobokee huyo kunguru hata mwezi haupiti ataanza kujipendekeza ila mkazie. usikubali kumgonga tena hata ajipendekeze vipi. kama kuna vitu ulikuwa unampa kama airtime au MBs au chochote cha namna hiyo never again. atakoma na wewe utakaa kwa amani tu.
 
Helloooooos....,

Mwenzenu yamenikuta jamn, nimeishi na mwanamke mmoja yapata mwaka sasa, mwanamke huyu alishakuwa na mtoto kwenye mahusiano yake yaliyopita, ikawa bado hatujaafikia hatua ya kuoana.

Kilichonifikisha hapa leo ni kwamba, huyu mwenzangu kuna kipindi aliniambia kuna mwanaume mmoja anamfuatilia, mwanaume ni mme wa mtu. lakini kadiri siku zilivyoenda nikaja kundua kuwa ametembea naye tayari na wanaendelea, nilivokuja kumwuliza akawa anakuja juu eti namfuatilia sana.

Kiukweli roho imeniuma mnooo, sijui hata ni kwann ila mpaka afya yangu imedorora, nikikumbuka hili tukio hata kula siwezi, najihisi kudharauliwa sana maana anatembea na mwanaume mwingine wakati nipo naye zaidi aliniambia habari zake kabla.

nimejitahidi nijisahaulishe hili suala ila bado tu, najaribu kumsamehe (siyo kurudiana naye) ili niwe mwepesi ila bado tuu.

nina picha zake za uchi, na videos pia.., kuna wakati natamani kuzivujisha ili kama mbwayi mbwayi tu labda nitapata amani ya moyo, au nimtumie yeye kwanza ili naye asiwe na amani kama ilivyo kwangu...
Najua hata sahv nikimwita aje geto atakuja, sometym nafikiria sijui nimtafute dem afu nimwite aje geto then anikute namgonga demu mwingine afu ye nimtoe baru labda kitamuuma na yy.

Nina contact za wadogo zake wawili ambao hawajui kama nilikuwa na date naye, kuna wakati napata msukumo nimtongoze mmoja wao ili kimuume naye apate machungu kama haya.

Kwakweli sijiewi, naombeni ushauri wenu nivuke hapa. Nibaki na amani na uanaume wangu utukuke.
Pole mkuu,km unaweza kanyaga hao ndugu zakeg we kanyaga hadi ajue ili nae aumie au ukichemka bs tafuta demu lolote uliweke getovna umwite na akija awakute unalitafuna huenda akaumia.hilo la kuvujisha pic zake za uchi sio zuri unajuaje pengine nae anazako!!!
 
Rusha picha hzo.mwamba..au kama vip niwekee mm DM nizisambaze...kama.mbwai mbwai tu
 
Broo jitahidi tu kumsahau,, hata mimi hii hali imeshanikuta yaani demu wangu alichepuka na akaanza kunisema vibaya kwa watu huku akimsifia mpenzi wake mpya,,, niliumia sana then nikajitahidi kuulazimisha moyo kumsamee na kumsahau nikaongeza bidii ya kutongoza wadada wazuri hatimae ndoano zika mnasa mrembo mmoja ambae mpaka sasa nipo nae na mapenzi yetu ni matamu sana,,, yule msaliti alivo pata mtu kwenye hela kuliko mimi tabia ilibadilika akawa anapokea simu kwa kujisikia sana,,, ila sasa hivi na mimi napigiwa simu mpaka saa 11 alfajiri na demu ambae ni mzuri hata kuliko yule msukule msaliti asie na adabu
 
Asante mkuu..., ila kwa sasa nina tatizo fulani hivi, kila demu nnayemwona ni kama namwona siyo mzuri kama yeye.... hata kama kiuhalisia siyo kweli, afu nikianza kumtongoza badaye kama naishiwa nguvu nakuwa kama sijali sifuatiliii vzr mpaka naonekana sipo serious....

Nitajitahidi kumsahau... MUNGU anijalie hii neema
 
Forgive and forget
Muombee Mola akuletee mtu sasa, usilipize kisasi Kwani inaweza kukughalim
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom