elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Kwanza futa hizo video na picha zake za uchi usije jikuta unazipostAsante mkuu.., ila nahisi kudharauliwa sana ndo maana. ni kama ameona sina cha kumfanya.
Kwanza futa hizo video na picha zake za uchi usije jikuta unazipostAsante mkuu.., ila nahisi kudharauliwa sana ndo maana. ni kama ameona sina cha kumfanya.
Mbona unaupa moyo kazi ngumu hivyo? Acha na hayo mambo ya kukomoa na angalia maisha yako, Mh ! Kwa mazingira haya tutatoboa uchumi Wa viwanda??????..Helloooooos....,
Mwenzenu yamenikuta jamn, nimeishi na mwanamke mmoja yapata mwaka sasa, mwanamke huyu alishakuwa na mtoto kwenye mahusiano yake yaliyopita, ikawa bado hatujaafikia hatua ya kuoana.
Kilichonifikisha hapa leo ni kwamba, huyu mwenzangu kuna kipindi aliniambia kuna mwanaume mmoja anamfuatilia, mwanaume ni mme wa mtu. lakini kadiri siku zilivyoenda nikaja kundua kuwa ametembea naye tayari na wanaendelea, nilivokuja kumwuliza akawa anakuja juu eti namfuatilia sana.
Kiukweli roho imeniuma mnooo, sijui hata ni kwann ila mpaka afya yangu imedorora, nikikumbuka hili tukio hata kula siwezi, najihisi kudharauliwa sana maana anatembea na mwanaume mwingine wakati nipo naye zaidi aliniambia habari zake kabla.
nimejitahidi nijisahaulishe hili suala ila bado tu, najaribu kumsamehe (siyo kurudiana naye) ili niwe mwepesi ila bado tuu.
nina picha zake za uchi, na videos pia.., kuna wakati natamani kuzivujisha ili kama mbwayi mbwayi tu labda nitapata amani ya moyo, au nimtumie yeye kwanza ili naye asiwe na amani kama ilivyo kwangu...
Najua hata sahv nikimwita aje geto atakuja, sometym nafikiria sijui nimtafute dem afu nimwite aje geto then anikute namgonga demu mwingine afu ye nimtoe baru labda kitamuuma na yy.
Nina contact za wadogo zake wawili ambao hawajui kama nilikuwa na date naye, kuna wakati napata msukumo nimtongoze mmoja wao ili kimuume naye apate machungu kama haya.
Kwakweli sijiewi, naombeni ushauri wenu nivuke hapa. Nibaki na amani na uanaume wangu utukuke.
Kwa ukali wake... kumpata zaidi yake ni kazi, labda nimtafute tu mwingine niridhikeWewe acha mambo ya kishamba ukivujisha pichazae Unahisi ndio utakuwa bingwa eeee?? Upuzi uwo achananae tafuta mkali zaidi yake
Asante mkuu... nimeshazifuta picha na clips zote, so chances za kufanya hivyo hakuna tena.Kuvujisha picha za utupu itakuonesha ww bro jinsi ulivyo hovyo. Wanaume hatuko hivyo.achana na mambo ya wavulana. Kama wampenda msamehe pigamoyo konde songa mbele. Au lah achana naye tafuta mwingine ila achana kbs na habari zankudhalilishana.
Wanawake wanapotuamini hadi tunawapiga picha za uchi dont breach that trust. Kosa la character assassination mm hua naliona halina tofauti na kuwa muuaji kabisa. Alichofanya yy amechepuka hajaanika utupu wako. Pls be a man
Nakupongeza Kaka kwa kuzifuta maana umeshaepuka jinai tayari. Nakuelewa sana unajua tunaumia tofauti kwa kuwa tunapenda na kujali kwa viwango tofauti pia. MUNGU akusaidie upite salama ktk changamoto hyo hatimaye maisha yaendeleeAsante mkuu... nimeshazifuta picha na clips zote, so chances za kufanya hivyo hakuna tena.
Nataman kumrudia ila najiona kukosa thamani, yaani mwanamke aondoke mbele yangu akagongwe tena siyo mara moja, then arudi aendelee kuwa wangu, nahisi kukinai sana.
Lakini pia miezi miwili imepita sasa ila bado nimeshindwa kumsahau, nikikumbuka ubaya huu mpaka natetemeka....