hapo mkuu umenena me nakumbuka kipindi cha nyuma Mr.alinikamata ila niliruka futi 1000 later nikakubali nikaoma na msamaha ila baada ya kipigo kizito😵😵😵😵The best revenge is to forgive.
ni kama nilikuwa nakosea kujitolea mno kwa huyu mbwa daahHizi Mbunye zipo tu na nizakugawanagawana tu, leo wewe kesho mm hapohapo!
Its not a dog man, she is a woman! Na ndivyo walivyo! Hata wewe toka umekuwa naye ushapanua kadhaa wengine tofauti na yeye! Tena wewe hujamuoa ungekuwa umemua je ungekuwaje?ni kama nilikuwa nakosea kujitolea mno kwa huyu mbwa daah
Asante mkuu... nitajitahidiSamehe kwa moyo wote utabarikiwa, tafuta zaidi maisha, tafuta mke oa, anzisha familia uitunze ungali na nguvu ya akili na mwili.
Daah we kweli mfarisayopunguza povu. hata wakati unampata kumbuka ulimzunguuka aliyekuwa nae. Kuwa mpole na uendelee nae kwani huyo msela hajaihamisha ipo palepale.
Kutembea na mdogo wake pia sitaumiazaidi ya kumsamehe mengine utaumia na wewe pia
duh sijui ila sikushauri ukatembea na mdogo wake ... fanya mambo mengineKutembea na mdogo wake pia sitaumia
Kuna mmoja anafanana naye copy., nimeanza anza response siyo mby..duh sijui ila sikushauri ukatembea na mdogo wake ... fanya mambo mengine
duh hayaKuna mmoja anafanana naye copy., nimeanza anza response siyo mby..
dada nishauri tu honestly kwann nisifanye hivyo??duh haya
Hivi nini huwa kinawa drive kupigana ama kumpiga mwenzi wako picha za uchi / video? uko na mwanamke mwaka mzima ama zaidi halafu unampiga picha za uchi!! wewe na yeye na wote wanaofanya hivyo nadhani kuna kitu mna missHelloooooos....,
Mwenzenu yamenikuta jamn, nimeishi na mwanamke mmoja yapata mwaka sasa, mwanamke huyu alishakuwa na mtoto kwenye mahusiano yake yaliyopita, ikawa bado hatujaafikia hatua ya kuoana.
Kilichonifikisha hapa leo ni kwamba, huyu mwenzangu kuna kipindi aliniambia kuna mwanaume mmoja anamfuatilia, mwanaume ni mme wa mtu. lakini kadiri siku zilivyoenda nikaja kundua kuwa ametembea naye tayari na wanaendelea, nilivokuja kumwuliza akawa anakuja juu eti namfuatilia sana.
Kiukweli roho imeniuma mnooo, sijui hata ni kwann ila mpaka afya yangu imedorora, nikikumbuka hili tukio hata kula siwezi, najihisi kudharauliwa sana maana anatembea na mwanaume mwingine wakati nipo naye zaidi aliniambia habari zake kabla.
nimejitahidi nijisahaulishe hili suala ila bado tu, najaribu kumsamehe (siyo kurudiana naye) ili niwe mwepesi ila bado tuu.
nina picha zake za uchi, na videos pia.., kuna wakati natamani kuzivujisha ili kama mbwayi mbwayi tu labda nitapata amani ya moyo, au nimtumie yeye kwanza ili naye asiwe na amani kama ilivyo kwangu...
Najua hata sahv nikimwita aje geto atakuja, sometym nafikiria sijui nimtafute dem afu nimwite aje geto then anikute namgonga demu mwingine afu ye nimtoe baru labda kitamuuma na yy.
Nina contact za wadogo zake wawili ambao hawajui kama nilikuwa na date naye, kuna wakati napata msukumo nimtongoze mmoja wao ili kimuume naye apate machungu kama haya.
Kwakweli sijiewi, naombeni ushauri wenu nivuke hapa. Nibaki na amani na uanaume wangu utukuke.
usifanye hivyo sababu wale ni ndugu na kwa namna moja au nyingine utamuumiza mdogo mtu kuliko dada yake.. sababu wewe unataka kumgonga na kusepa si pouwa banadada nishauri tu honestly kwann nisifanye hivyo??