Mpenzi wangu amechepuka, natamani kumkomesha

Mpenzi wangu amechepuka, natamani kumkomesha

hapo mkuu umenena me nakumbuka kipindi cha nyuma Mr.alinikamata ila niliruka futi 1000 later nikakubali nikaoma na msamaha ila baada ya kipigo kizito😵😵😵😵
Kwann ulichepuka in the first place,wanawake sitakaa niwaelewe
 
Mi Nakushauri Uachane Naye
Kuna Maisha Baaya ya Yeye...

Inaonekana Hiyo Ni tabia Yake, as you said kwamba Anamtoto Aliyempata Kwenye mahusiano yake Mengine, Bado yuko na Wewe, wakati huo huo Yuko na Huyo Mme wa Mtu...

Hilo Pepo Ndugu Yangu.. Achana naye ,Kaa Muombe Mungu atakupa Mtu sahihi
Well said,hata Mimi kuna pepo langu imebidi niliache tu.
 
"Nahisi kudharauliwa" kwa mwanaume yeyote anaeelewa maana ya hiyo quotation atakuwa anaelewa nini maana yake. Una udhaifu gani unaohisi anaujua pengine ndo anautumia kama fimbo kukuadhibu, ukiusema nitakupa mfano wangu uliowahi nitokea mwaka uliopita utajifunza kitu
 
Mimi bado siamini kama watu bado mnateseka na mahusiano kiasi hiki.
 
Sikia hiyo ni sawa na sahani ya mamalishe akiitumia huyu husafishwa na kupakuliwa mteja mwingine. Isafishe endelelea nayo.
 
kumbe siyo mke wako lakini unaumia hvyo,,,angalia upande wa pili kaka,,yaani mpotezee huyo hakufai
 
Hapa ndo wakati wa kujitambua busara zako ili siku ukiwa na furaha ujivunie..visasi,chuki na hasira havita kusaidia baadala yake vitazidi kukuumiza...kila binadam unaepishana nae huko barabarani kesha umizwa kwenye mapenzi ...na mapito hayo ndo yanakujenga na kukupa nguvu na ari mpya...jitahdi kutumia muda wako huu kua bora usije juta mara mbili..

SM
 
tatizo bado hawa watu mnawakosea, hawa wanaendeshwa kwa hisia inabidi unakuwa mpole kwa sababu unachotaka kufanya kitakuathiri zaidi andaa siku muite kaa nae mueleze jinsi gani unaumia,jinsi unavyompenda na mambo ambayo mmewahi kufanya mipango yenu ilivyokuwa kumbuka kutumia hisia zaidi katka maelezo yako kuwe sehem tulivu ambayo mtakuwa peke yenu lazima mambo yatakaa sawa tu jitahidi pia kuwa mbunifu kuwa na vitu vya aina yako!!
 
To succeed Samahani lakini
Duuuuh basi sawa......
Hiki kingereza cha darasa la 7 ni shida kweli kweli.....

[emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji122] [emoji122]


[emoji12] [emoji95] [emoji379]
 
Asante mkuu..., ila kwa sasa nina tatizo fulani hivi, kila demu nnayemwona ni kama namwona siyo mzuri kama yeye.... hata kama kiuhalisia siyo kweli, afu nikianza kumtongoza badaye kama naishiwa nguvu nakuwa kama sijali sifuatiliii vzr mpaka naonekana sipo serious....

Nitajitahidi kumsahau... MUNGU anijalie hii neema
Huwezi penda tena kama utakuwa na hasira au kinyongo dhidi ya mpenzi wa zamani,,, amani yako kaka ipo kwenye msamaa jilazimishe tu,,, puuzia ujinga alio fanya then utambue wewe sio mtu wa kwanza kufanyiwa hivo,, mshukuru tu kwa kukufumbua macho ili usiteleze tena,, jikaze kiume broo inawezekana kabisa kumsahau kwa 100%,,, mimi ni shahidi katika hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom