Mpenzi wangu amechepuka, natamani kumkomesha

Mpenzi wangu amechepuka, natamani kumkomesha

Hawa viumbe huwa hawataki hasira...nenda naye taratibu. Kama mfuko umekauka jitahidi uutunishe, kama dozi zimepungua jitahidi uziongeze, kama muda wa kuwa naye umepungua jitahidi ukipata muda wa kuwa naye uzidishe kumjali...ni mengi ila mhimu zaidi ni kujua usipochapiwa basi kuna kitu kingine lazima atakuumiza. Kuweza kuishi katika mambo hayo ndo yanakufanya mwanaume!!
 
hapo mkuu umenena me nakumbuka kipindi cha nyuma Mr.alinikamata ila niliruka futi 1000 later nikakubali nikaoma na msamaha ila baada ya kipigo kizito😵😵😵😵

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38] ulichezea kichapo?
 
We hujapata majaribu..watu walilea watoto ambao sio wao na wakajibiwa kwa jeuri kuwa yule aliekua anakuja hapa hom nikakwambia ni shemeji yangu hakua shemeji bali mme mwanzako na ndio mwenye mtoto *****..usiombe kuna wenye majanga yako cha mtoto what i know ukiwa na demu au hata mke ukishtuka anachepuka ujue haita ishia hapo (once cheater always a cheater)..kuna siku niliskia wadada wakiongea saloon mmoja wao alikua mke watu akawa anawaambia wenzake bwana wake wa nje anamla tgo na ndicho kinachomchanganya na kuhonga anamuhonga hii dunia iache tuu
 
Umesema huyo mwanamke anamtoto tayar!!?
Hujui kuwa na mwanamke mwenye mtoto ni sawa na kulima karanga karibu na shule ya msingi?!
 
Pole sana... inakera na kuudhi, lakini ndiyo ishatokea hivyo... Ni wewe sasa kusuka au kunyoa, lakini usijaribu kushindana na mwanamke... mwenzako haumii kwa sababu hajakuweka moyoni, wewe ndiyo utakuja kuumia zaidi kama akikufanyi jambo zaidi ya hilo kwa sababu inaonekana umemueweka moyoni...
 
Helloooooos....,

Mwenzenu yamenikuta jamn, nimeishi na mwanamke mmoja yapata mwaka sasa, mwanamke huyu alishakuwa na mtoto kwenye mahusiano yake yaliyopita, ikawa bado hatujaafikia hatua ya kuoana.

Kilichonifikisha hapa leo ni kwamba, huyu mwenzangu kuna kipindi aliniambia kuna mwanaume mmoja anamfuatilia, mwanaume ni mme wa mtu. lakini kadiri siku zilivyoenda nikaja kundua kuwa ametembea naye tayari na wanaendelea, nilivokuja kumwuliza akawa anakuja juu eti namfuatilia sana.

Kiukweli roho imeniuma mnooo, sijui hata ni kwann ila mpaka afya yangu imedorora, nikikumbuka hili tukio hata kula siwezi, najihisi kudharauliwa sana maana anatembea na mwanaume mwingine wakati nipo naye zaidi aliniambia habari zake kabla.

nimejitahidi nijisahaulishe hili suala ila bado tu, najaribu kumsamehe (siyo kurudiana naye) ili niwe mwepesi ila bado tuu.

nina picha zake za uchi, na videos pia.., kuna wakati natamani kuzivujisha ili kama mbwayi mbwayi tu labda nitapata amani ya moyo, au nimtumie yeye kwanza ili naye asiwe na amani kama ilivyo kwangu...
Najua hata sahv nikimwita aje geto atakuja, sometym nafikiria sijui nimtafute dem afu nimwite aje geto then anikute namgonga demu mwingine afu ye nimtoe baru labda kitamuuma na yy.

Nina contact za wadogo zake wawili ambao hawajui kama nilikuwa na date naye, kuna wakati napata msukumo nimtongoze mmoja wao ili kimuume naye apate machungu kama haya.

Kwakweli sijiewi, naombeni ushauri wenu nivuke hapa. Nibaki na amani na uanaume wangu utukuke.
Mkuu kuwa naye Mwaka 1 unalia hivyo hata posa hujatoa?, na wenzio waliochapiwa wako kwenye ndoa miaka 10 and more wafanyaje? But anyway ndio madhara ya kung'ang'ana na single mother kama vp mteme aendelee na huyo Mme wa mtu maana ukiendelea naye ipo siku atakuja tena mwenye mtoto pia watakumbushia enzi zao
 
Wadau nataka kuendelea kula huyu demu tena ila tahadhari sasa, maana najikuta namkumbuka kila saa.
 
Helloooooos....,

Mwenzenu yamenikuta jamn, nimeishi na mwanamke mmoja yapata mwaka sasa, mwanamke huyu alishakuwa na mtoto kwenye mahusiano yake yaliyopita, ikawa bado hatujaafikia hatua ya kuoana.

Kilichonifikisha hapa leo ni kwamba, huyu mwenzangu kuna kipindi aliniambia kuna mwanaume mmoja anamfuatilia, mwanaume ni mme wa mtu. lakini kadiri siku zilivyoenda nikaja kundua kuwa ametembea naye tayari na wanaendelea, nilivokuja kumwuliza akawa anakuja juu eti namfuatilia sana.

Kiukweli roho imeniuma mnooo, sijui hata ni kwann ila mpaka afya yangu imedorora, nikikumbuka hili tukio hata kula siwezi, najihisi kudharauliwa sana maana anatembea na mwanaume mwingine wakati nipo naye zaidi aliniambia habari zake kabla.

nimejitahidi nijisahaulishe hili suala ila bado tu, najaribu kumsamehe (siyo kurudiana naye) ili niwe mwepesi ila bado tuu.

nina picha zake za uchi, na videos pia.., kuna wakati natamani kuzivujisha ili kama mbwayi mbwayi tu labda nitapata amani ya moyo, au nimtumie yeye kwanza ili naye asiwe na amani kama ilivyo kwangu...
Najua hata sahv nikimwita aje geto atakuja, sometym nafikiria sijui nimtafute dem afu nimwite aje geto then anikute namgonga demu mwingine afu ye nimtoe baru labda kitamuuma na yy.

Nina contact za wadogo zake wawili ambao hawajui kama nilikuwa na date naye, kuna wakati napata msukumo nimtongoze mmoja wao ili kimuume naye apate machungu kama haya.

Kwakweli sijiewi, naombeni ushauri wenu nivuke hapa. Nibaki na amani na uanaume wangu utukuke.
Minor utawajua tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom