Mpenzi wangu amechepuka, natamani kumkomesha

usifanye hivyo sababu wale ni ndugu na kwa namna moja au nyingine utamuumiza mdogo mtu kuliko dada yake.. sababu wewe unataka kumgonga na kusepa si pouwa bana
Mimi mke sina huyo huyo mdogo akikaa vzr... na akiona nitamfaa mi sitaona shida pia, tena itakuwa poa zaidi ili yule fala akione milele..
 
Usiwe kama nanihii kutaka kulipiza visasi. Kama bado unampenda endelea naye vinginevyo hili la kuchangamkia dushe lingine kama huwezi kulivumilia hadi linakuathiri kiasi hiki basi piga chini Mkuu.
Mkuu unaweza kusamehe ukigundua kuna mtu unashare nae Ikulu?
 
Kama wewe hujawahi kuchepuka hata siku moja unahaki ya kumhukumu huyo mwanamke. Lkn kama ulishawahi kuchepuka na kwasababu yeye hakugundua ndio wewe ujione ni msafi sana ukimuhukumu utakuwa unakosea.
 
We jamaa uko kama kenge, yani mpaka atoke damu ndiyo anasikia. Hapo sasa utakuwa umesikia. Kila siku tunasema hao waliokwisha zaa achana nao watakuumiza tu lakini bado unadondokea huko. Hao wako so desperate sasa wewe endelea tu afu uje kulialia hapa. Kula sepa zako usiweke kambi mkuu. Niliwahi kuweka kambi dah wako kama ruba hao
 
Mmhhh inaonekana ilikua bonge la lesson Allency.

Fanya utusimulie tujifunze hata kidogo
 
Mmhhh inaonekana ilikua bonge la lesson Allency.

Fanya utusimulie tujifunze hata kidogo

Big lesson aisee, japo nilitoka lakini kwa tabu sana. Hao watu weka mbali na hisia zako. Piga sepa no commitment. Jua kabisa mzazi mwenza akija always mlango uko wazi as they are so desperate people around you wakimtaka wanampata kirahisi sana
 
Mimi mke sina huyo huyo mdogo akikaa vzr... na akiona nitamfaa mi sitaona shida pia, tena itakuwa poa zaidi ili yule fala akione milele..
Sikia kaka.

Mtu akikukosea (kukusaliti), wewe sio mwenye kosa mpaka ikuume kiasi hiki. Tambua katika kukusaliti yeye ndiye ameshusha uaminifu wake kwako na sio wewe kwake. Picha zake za utupu itakua busara kuzifuta maana unawezakufanya kitu kibaya.

Kama utaweza, ili uchungu uishe ni lazima upate sehemu ya kuichiria hasira yako. Wasiliana nae ili muweze kukutana, na kama unahisi una hasira kiasi kikubwa sana mchukue rafiki yako uwe pamoja nae wakati mnakutana. Mwelezee rafiki ya kwa juu juu na umwambie umepanga kumkabili na kumwambia ukweli, kama mambo hayatakua mazuli aje kuingilia. Mwambie yeye akae kwa mbali ila atakapo ona mambo yamebadilika aje kusaidia usije ukaua.
 
sasa kama ni demu tu si uachane naye? afu anaweza kuwa ni yule aliemzalisha ndo anaendelea kutembea na mkewe ....tafuta wakwako na wewe uzalishe mkuu
 
Sikia kaka.

Mtu akikukosea (kukusaliti), wewe sio mwenye kosa mpaka ikuume kiasi hiki. Tambua katika kukusaliti yeye ndiye ameshusha uaminifu wake kwako na sio wewe kwake. Picha zake za utupu itakua busara kuzifuta maana unawezakufanya kitu kibaya.

Kama utaweza, ili uchungu uishe ni lazima upate sehemu ya kuichiria hasira yako. Wasiliana nae ili muweze kukutana, na kama unahisi una hasira kiasi kikubwa sana mchukue rafiki yako uwe pamoja nae wakati mnakutana. Mwelezee rafiki ya kwa juu juu na umwambie umepanga kumkabili na kumwambia ukweli, kama mambo hayatakua mazuli aje kuingilia. Mwambie yeye akae kwa mbali ila atakapo ona mambo yamebadilika aje kusaidia usije ukaua.
Nikikutana naye tutazungumza nini mkuu???
 
UMEDHARILISHWA

NAWAZA KAMA UNGEMFUMANIA LAIVU ANAGONGWA KWENYE HICHO KITANDA CHAKO...!!!

sio kwa hasira hizo mkuu..!!

MI NAONA HASIRA ZAKO ZIMALIZE HIVI..!!

JITAHIDI KUKAA MBALI NAE KADIRI UWEZAVYO HATA KAMA PICHA ZAKE SIJUI VIDEO ZAKE ZOTE FUUUTA... (maana hizo ndizo zinazokuchochea bila wewe kujua) ...

WATU WANASAHAU MATUKIO MAKUBWA ZAIDI YA HAYO..!!
ILA KWA SHARTI LA KUKAA MBALI NA VIKWAZO..
Asante kwa ushauri wako mkuu
 
Haya mambo haya yanaumiza sana... Msiba usikie kwa jirani tu hata hivyo life must go on man.
Achana nae sometimes Mola ana namna ya kipekee ya kukuepusha na majanga. Forgive and forget tafuta king'asti mwingine move on. Wanawake ni kama mabasi ya mikoani, utapanda daraja la kawaida, la kati ama la juu for now fanya yako.
[HASHTAG]#Kilamtunaapambanenahaliyake[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom