- Thread starter
- #61
Yaani kama namwona yule jamaa.... daah inauma wakati mwingineMkuu unaweza kusamehe ukigundua kuna mtu unashare nae Ikulu?
Yaani kama namwona yule jamaa.... daah inauma wakati mwingineMkuu unaweza kusamehe ukigundua kuna mtu unashare nae Ikulu?
Funguka...mwambie unaujua ukweli, tafuta njia ya kutoa hasira yako kwake (mpumzikie muhusika) na hata vibao mchape. Ila rafiki yako awepo kwa mbali usije vuka mipaka ukaua.Nikikutana naye tutazungumza nini mkuu???
Speakin from xperience...Usikute huyo mume wa mtu ndiye mzazi mwenzie..
Hawa watu naskia hawaachanagi,lazima wakumbushiane"those golden moments"
Ndio maana kila siku huku kuna "nyuzi za kupeana maonyo" kuhusu hawa watu.
[emoji86] [emoji87] [emoji87]ni kama nilikuwa nakosea kujitolea mno kwa huyu mbwa daah
Nimekuelewa kaka.Funguka...mwambie unaujua ukweli, tafuta njia ya kutoa hasira yako kwake (mpumzikie muhusika) na hata vibao mchape. Ila rafiki yako awepo kwa mbali usije vuka mipaka ukaua.
Ukisema ulipize kiasi unaweza kupata madhara fulani katikati ya safari, kama maamuzi mabovu utakayojutia baadae. Mfano ukampa mimba mdogo wake halafu nae anabadili kuwa kama dadake, unaweza ukafanya kitu kibaya aisee. Unaweza kupata magonjwa pia kujiingiza kwenye mogorogoro usiyotegemea.
Msaliti kaisaliti nafsi yake. Mtendwa huna kosa, ingawa unaweza kutoa adhabu, na baadae usamehe kaka. Haina maana kuchukia wanawake kwasababu ya mmoja wao tu. Kuna watu walishaamua kuharibu maisha yao, jichunge wasijeharibu na yako kwnye mkumbo.
Mkuu nimechanganyikiwa kdg ila akili za kutambua hili nimebakiwa nazoChukuwa number zangu nitumiy hizo video zake za uchi 0714873621
Not from own experience...Speakin from xperience...
Halafu ukute hata kwa ngumi humuwezi..Yaani kama namwona yule jamaa.... daah inauma wakati mwingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu ukute hata kwa ngumi humuwezi..
Ungemzaba hata moja upunguze hasira..
Eti bae...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ur a married parent?!Not from own experience...
Am not single parent..