Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,471
- 722
Utaulizwa masuala kama why did you open the door na unajua uko peke yako? Why does he even know your address kama hukumpa? Na shutuma nyingi kama inasababishwa na the way you dress up, the way you conduct yourself in front of him
Na hofu ya kusema inazidi hasa ikiwa mbakaji ni mtu unaemjua
Na pia uwe tayari kabisa kuharibu uhusiano wako na huyo bwana ( mume/boyfriend) kwa maana kila mara atakumbushia hilo tukio. Pia kila mara yeye atabaki na hiyo taswira ya wewe ukiwa kwenye kitendo na huyo mtu kila mnapokuwa faragha!......Hivi wanaume "wanaobakwa" nao inakuwa vipi? je wanawahadithia wanawake zao?