Je, unaweza kukubali kupigwa mbele ya mke au mpenzi wako?

Nadhani Mimi Niko tofauti kaka, nikichafukwa hata mpiga karate lazima atoke nduki...Kuna kipindi police walinizingua wakadhani Mimi ni kichaa
Kwa ID yako, huwezi fanya hivyo usemao. Wewe ni mrembo tu na ni mtoto wa mama na wa kawaida sana. ID hii sio ya watu wa namna hiyo usemavyo. ID hii ni nyoro nyoro tu.
 
Hahaha, SI kweli wanaonizunguka wananijua mzee, nimeshachora mstari kwenye maisha yangu ukivuka mstari lazima ukutane nacho. Nenda Mwanza Hapo mabatini jina langu linaimbwa Kila Kona ya mtaa, kama Bado hujanifahamu Mimi ndio kiongozi wa kundii la Mapimpiri miaka hiyo, kimbiza sana masharobaro.
 
Hahaaaaa, haya mkuu hongera kwa hilo.
 
Back
Top Bottom