Asante, Mkuu Gembe kwa kunifahamisha.
Lakini bado kuna machache siyaelewi:
1. Ana cheo gani katika ofisi hiyo.
2. UWT ndiyo nini? Umoja wa Wanawake au Usalama wa Taifa (nakisia tu)?
Shukurani kwa kunivumilia.
UWT = Usalama wa Taifa
Asante, Mkuu Gembe kwa kunifahamisha.
Lakini bado kuna machache siyaelewi:
1. Ana cheo gani katika ofisi hiyo.
2. UWT ndiyo nini? Umoja wa Wanawake au Usalama wa Taifa (nakisia tu)?
Shukurani kwa kunivumilia.
UWT = Usalama wa Taifa
Asante, Mama. Naona Mheshimiwa Gembe aliisha chambua kwa undani shughuli za UWT. Lakini kwa nini wasichague acronym nyingine? Sisi tumezoea UWT= Umoja wa Wanawake Tanzania. Sasa nyie wakina mama (najua si wote mlio wanachama wake na wala haiwakilishi matakwa yenu), jumuia ya wakinamama wa CCM inaiitajwe? Hawa wa usalama si wangebaki na TISS! Au ndiyo mbinu za medani kutuchanganya sisi mapunguani?
Asante, Mama. Naona Mheshimiwa Gembe aliisha chambua kwa undani shughuli za UWT. Lakini kwa nini wasichague acronym nyingine? Sisi tumezoea UWT= Umoja wa Wanawake Tanzania. Sasa nyie wakina mama (najua si wote mlio wanachama wake na wala haiwakilishi matakwa yenu), jumuia ya wakinamama wa CCM inaiitajwe? Hawa wa usalama si wangebaki na TISS! Au ndiyo mbinu za medani kutuchanganya sisi mapunguani?
TISS inasimamia nini?
Mama,
Si vibaya kuendelea kutumia acronym ya kiingereza kwenye lugha nyingine. Hii inafanywa kuzuia mchanganyiko unaoweza kutokea. Sidhani kwa mfano kama itakuwa busara kuita Umoja wa mataifa, U.M. Sasa UNESCO tutaiitaje?
Hao wakina mama wa CCM acronym yao ndiyo ipi tena? UWT-CCM au?
Nauliza tu.
Tukienzi kiswahili, tusikibwage kwenye masuala ya kitaifa kama haya. Hayo ya kimataifa kidogo unaweza pata kigugumizi, lakini kama kuna determination ya kutumia kiswahili pale inapolazimu basi UNESCO tutaiita Kamisheni ya Elimu na Sayansi ya Umoja wa Mataifa (KESUM).
Swadakta, Mama.
Tunachotakiwa kuwa ni consistent kwenye vyombo vyetu. Tukiamua kuwa chombo chetu cha usalama ni UWT, tusikiite TISS. Hao waingereza itabidi waendelee kutumia UWT kama vile sisi tunavyotumia UNESCO na FIFA (Fédération Internationale de Football Association)! Mbona FIFA haina acronym ya lugha nyingine yeyote isipokuwa hiyo inayotokana na jina lake kwa kifaransa?
Amandla.....
Nyani Ngabu
Inasimia maslahi ya viongozi wa nchi.Kuna mapungufu kidog pale kwenye hii sheria,inavyoonekana wafanyakazi wa idara hii wanafanya kazi kutiokana na maagizo yatolewao na Mkurugenzi wa idara.
Na ndiyo maana kulikuwapo mchanganyiko wakati RO alipoteuliwa kuwa mkuu wa unoko.
Mkuu Fundi, Nilikaa kimya sababu maelezo yangu yalikuwa yakijitosheleza,nilishasema kwamba anafanya kazi ya mkurugenzi wa uwt.sasa kama UWT-CCM inaongozwa na Mkurugenzi hapo mimi simo..? Vitu ambavyo viko wazi tuache viwe kama vilivyo..Mpaka sasa hivi RAis Hataki kunijibu ombi langu.Kuna mtu ana namba ya DPP?Asante, Mama. Naona Mheshimiwa Gembe aliisha chambua kwa undani shughuli za UWT. Lakini kwa nini wasichague acronym nyingine? Sisi tumezoea UWT= Umoja wa Wanawake Tanzania. Sasa nyie wakina mama (najua si wote mlio wanachama wake na wala haiwakilishi matakwa yenu), jumuia ya wakinamama wa CCM inaiitajwe? Hawa wa usalama si wangebaki na TISS! Au ndiyo mbinu za medani kutuchanganya sisi mapunguani?
mpaka sasa hivi rais hataki kunijibu ombi langu.kuna mtu ana namba ya dpp?
Na KGB inasimamia nini?
Haya, Mpenda watoto,
KGB= Komitjet Gosudarstvjennoj Bjezopasnosti.
Heheheheheee...umeitoa wapi hii...wikipedia..?
Yupo Ndugu mmoja aliandika hapa kwamba anataka Rais Kikwete amwajiri ,au asimfukuze kazi Ngowi. Ngowi ni nani? Anaitwa Director,ni Director wapi?