Mpendwa Rais:Tunamtaka Afisa Mwandamizi Ngowi!

Mpendwa Rais:Tunamtaka Afisa Mwandamizi Ngowi!

Katika wat tunaowaita wazembe, wavivu basi wewe unashahili kupewa hiyo sifa maaana hujafanya utafiti unakurupuka tu.

Umeshindwa hata kusearch hiyo topic na kuisoma ama umeiona ukoana uvivu kusoma acha uvivu na uzembe ndugu yangu.

Kukusaidia soma hapa. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/21271-mpendwa-rais-tunamtaka-afisa-mwandamizi-ngowi.html

Mods inganisha hizi mada

nadhani ingetosha kumueleza kwamba afuatilie hiyo link uliyoionyesha.
siamini kama hayo mengine uliyoandika yalikuwa na ulazima.

ni maoni yangu tu
 
Last edited:
This should be deleted from JF. Its completely useless and a waste of space on the Interweb
 
Mbona watu hampo straight kwenye kuleta data za huyo Ngowi hapa? Hata kutaja Usalama wa Taifa mnasuasua? mnaogopa? Mwaogopa nini jameni?

USALAMA WA TAIFA!
 
gembe umejibiwa? au bado jamaa anadunda tuu
katika korido nyeti.

I heard he is still running the show since is the heavyweight than our excellency!
 
Duuh nimeshtuka kusoma kuwa huyu mzee nifisadi...aiseee ndo maana ana oesa vilee..
 
Back
Top Bottom