‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

Mi namjua mpemba maarufu zaidi kwa sasa ni Maalimu SSH
 
kichwa cha habari mbona hakiendi moja kwa moja na maada husika mtoa uzi tunaomba uzi uchanganue huyo mpemba kamponza vp DCI
 

Yule Mkuu wa Mkoa tuseme kwa kumuangalia tu kiakinifu utagundua kuwa ungekuwa ni uongozi wa JK labda angekuwa ameshaweka na yeye kiwanda.Angekuwa ameshajipatia ukwasi wa kutisha.Haonekani kuwa mwadilifu hata kidogo.Huyo ni "kenge" katika kundi la Mamba.
 
Bado tulio wengi tuko puzzled, tafadhali fafanua.

Mkuu sina cha kufafanua hapo kwani kosa la mleta uzi lipo bayana.Ameandika kichwa cha uzi ambacho hakiakisi maelezo yaliyomo kwenye uzi wenyewe.
 
yaani hii habari yako ni sawa na mtu akuahidi bia, alafu anakuonjesha kiroba, mwishon anakupa chibuku zero correlation
 
Aisee.....mbona sijaona "mpemba" alivyomponza huyo jamaa kwenye mada yako?au siku hizi ujangili unaitwa mpemba?
 
MsemajiUkweli hapa hukusema ukweli.

Kichwa na utumbo wa habari ni vitu tofauti kabisa.

Hassanoo na upemba wapi na wapi, tuulize wa Kariakoo tunaemjuwa toka walipohamia na baba'ke akiwa mdogo kutokea Mafia pale mtaa wa mvita kwa Binti Athumani.
 
Hivi unajua kazi za DCI kweli wewe ?
Director of Criminal Investigation ?

DCI = Director of Crime Investigation. Criminal ni mtu aliyefanya uhalifu, mhalifu atakuwaje na Director? Shule za mwendokasi zinawapeleka pabaya vijana wa JF
 
DCI = Director of Crime Investigation. Criminal ni mtu aliyefanya uhalifu, mhalifu atakuwaje na Director? Shule za mwendokasi zinawapeleka pabaya vijana wa JF
Oooh My God
Yaan wewe ndio wale wa Division 5
Kwa Hiyo DDP (Director of Public Prosecutions ) Utasema ni Mktugenzi wa washatakiwaji na Umma
 

Porojo, leta uthibitisho
 
Oooh My God
Yaan wewe ndio wale wa Division 5
Kwa Hiyo DDP (Director of Public Prosecutions ) Utasema ni Mktugenzi wa washatakiwaji na Umma
Hahahahahahaha! Hapo kwenye Division 5 umenipeleka mbali sana.
 

Yahee umevurugwaje ? Kutuchanganyia habari kulikoni waleta habari mchanganyiko
 
Na mie nilifungua kwa speed mwisho wa siku, ni tofauti na heading!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…