Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

Mwenye apartment au stand-alone kaliii Mbezi Beach, Sinza, Makongo juu ambayo haizidi 600k inahitajika urgently
 
Naitaji nyumba yenye vyumba viwili,sebule,choo cha ndani cha public na jiko.

Sehemu ni Dodoma-maeneo yafuatato.

Msalato,kibaoni,mipango kusiwe mbali na barabara.

Offer:-150k /Mwezi.

KWA Mwezi pango ni laki MOJA na busy(150,000/= KWA Mwezi)
 
Nahitaji nyumba yenye chumba kimoja, sebule na jiko, nyumba iwe ndani ya geti.

Sehemu; G/mboto, ULONGONI
Offer- 80000/= kwa mwezi
 
Nahitaji chumba na sebule sehemu yeyote ndani ya wilaya ya kinondoni...bajeti yangu ni 80k...mwenye nacho anitafute ni urgent
 
Nahitaji nyumba vyumba vitatu kimoja self, public toilet jiko na lounge eneo kuanzia tazara, vertinary temeke, kata 14 ,mwembe yanga na temeke mwisho.
 
Back
Top Bottom