Natafuta nyumba ya kupanga

Changed ID

Member
Aug 5, 2018
73
60
Hello family,

Natafuta nyumba ya kupanga kuanzia maeneo ya Kimara temboni mpaka Kiimara mwisho.

Sifa za nyumba
Vyumba vitatu, sebure na jiko, Fence and stand alone. Huduma muhimu kama maji na umeme viwe vya uhakika. Pia kusiwe mbali saana kutoka Morogoro road.

Kama unamfaham mtu anayehama siku si nyingi katika maeneo hayo au hata kama ni wewe naomba msaada wako juu ya hilo

Budget yangu haizi TZS 300,000/=

Ntafurahi kama nitapata msaada kutoka kwenu.
Ahsanteni.
 

prince john john

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
1,950
2,778
Nyumba nzima inapangishwa maeneo ya mbagala sabasaba nyuma ya Tayma hospital mita10 kutoka stend ya mwendo kasi
Nyumba ina vyumba 6
Vyumba vya kulala 3 kimoja ni master
Vyoo na bafu ni vya ndani
Jiko 1
Sebule moja kubwa
Maji na umeme unajitegemea hautashare na mtu yoyote
Kodi ni laki 3 kwa mwezi @kwa miezi 6
0683 670 294


20221220_171219.jpg
20221220_170416.jpg
20221220_170129.jpg
20221220_170330.jpg
20221220_170213.jpg
20221220_170352.jpg
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom