Mpangaji mpya

Mpangaji mpya

Ni hivi wakuu, hapa napokaa tuko wapangaji wa 4 design kama apartment flan hv.... Sasa Kuna mpangaji wakiume alihamia muda Si mrefu aliniomba niwe namsaidia kupika chakula Cha jioni akitoka kazin awe ananilipa, kutokana na Kaz yangu saa nane tu nakuwa Niko nyumban na sna majukum meng nikamkubalia awe ananipa mahitaj napkia nje na kwake, ajabu anataka nikapikie ndani kwake nisipikie nje!! hapa Kuna usalama kweli je nitaoneka vp na wapangaji wengne hata kama Nia yake sio ovu😱
Mkubalie halafu muombe hela ya Kodi.
 
Ukimaliza kupika chakula unakiacha nje au unapeleka ndani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom