Mpangaji mpya

Mpangaji mpya

Awapi sio kweli na Sina mazoea nae ingekuwa hvo nisingewaza mara 2 2 mtu kanikuta napika zangu kaanza jirani samahan na ombi hili na Lile hapo nmezoelekaje hovyo?
Ulikubali ombi lake papo hapo?. Ulijipa muda wa kuichimba nia yake halisi?. Uliisoma lugha yake ya mwili hususani mkikutana uso kwa uso hata kabla hajaleta hilo pendekezo?
 
ajabu anataka nikapikie ndani kwake nisipikie nje!! hapa Kuna usalama kweli je nitaoneka vp na wapangaji wengne hata kama Nia yake sio ovu😱
Kama umeolewa usiingie humo. Ila kama ni msela zama ndani chap, hakuna shida. Kwanini akishiba akasumbuke kuitafuta mbali?
 
Hapo nimejilahisisha vp🙄 sjamuomba niwe nampkia anilipe ye ndo kaomba na Kuna watu wanaishi kuptia hzo Kaz
Binti we ushakubal na hata kuliwa upo Tayari... Shida ni hao Majirani unahofia watakuonaje na sababu ni kuwa Majiran tayar walishakuona na harakat nyingine. Mwisho Fanya kitu Moyo wako una wiwa kufanya. Kama unaona kabisaa huwez mpea akiomba basi hata ndani mwake usiguse kuepusha Case ya Ubakaji
 
Ni swala la kuliwa mpishi na chakula chake, nenda kampikie maana ungeskia ni shoga ungemtangaza, kampe pepeteo Hilo acha woga bibieeee
 
Hapo nimejilahisisha vp🙄 sjamuomba niwe nampkia anilipe ye ndo kaomba na Kuna watu wanaishi kuptia hzo Kaz
Kitendo cha kukubali kumpikia tayari umemtengenezea mazingira ya kuja na ombi lingine. Ungemkatalia kupika tangu mwanzo, hayo ya kwenda kupika ndani yasingekuwepo.
 
Sasa mpikie wanaume hatupo hivo. Utafurahi kaka Yako akale chips wakati unaweza kumsaidia Tena sio bure. Win win.
 
Ni hivi wakuu, hapa napokaa tuko wapangaji wa 4 design kama apartment flan hv.... Sasa Kuna mpangaji wakiume alihamia muda Si mrefu aliniomba niwe namsaidia kupika chakula Cha jioni akitoka kazin awe ananilipa, kutokana na Kaz yangu saa nane tu nakuwa Niko nyumban na sna majukum meng nikamkubalia awe ananipa mahitaj napkia nje na kwake, ajabu anataka nikapikie ndani kwake nisipikie nje!! hapa Kuna usalama kweli je nitaoneka vp na wapangaji wengne hata kama Nia yake sio ovu😱
Kwahiyo unavyompikia kwa nje majirani wanageuka kuwa vipofu???

How old are you babygirl?
 
Jirani eeh jirani yangu nimekukosea nini.....?
kila ninachokuombwa mwenzangu wanikatalia........
Mimi na wewe ni kitu kimojaaa...haina maana ohhh haina maana kunyinamana.....😀😀
 
Amekuonaje mpaka akufanye mpishi wake? Ongea nae kistarabu ila na amini kwa nyie mlivo na tamaa usha anza kumuwazia sana haikua na haja ya kuleta Uzi huku,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom