StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 6,834
- 8,213
Samahani lakini. Unaonekana unazoeleka hovyo. Watu wanakuona kama bibi yao!. Kama unajipenda, jifunze kuweka mipaka iliyonyooka ili kutunza heshima ya utu wako!.Ni hivi wakuu, hapa napokaa tuko wapangaji wa 4 design kama apartment flan hv.... Sasa Kuna mpangaji wakiume alihamia muda Si mrefu aliniomba niwe namsaidia kupika chakula Cha jioni akitoka kazin awe ananilipa, kutokana na Kaz yangu saa nane tu nakuwa Niko nyumban na sna majukum meng nikamkubalia awe ananipa mahitaj napkia nje na kwake, ajabu anataka nikapikie ndani kwake nisipikie nje!! hapa Kuna usalama kweli je nitaoneka vp na wapangaji wengne hata kama Nia yake sio ovu😱
Ukapikie kwake kwamba ndio chakula kitakuwa kitamu sana au?.
Kaza Mtoto wa kike. Kama amekuona ni wife material akuwowe umpikiage ndani kwake.
Nashauri uendelee kupikia nje mama!. Tena sisitiza kwamba kikiwa tayari awe anakuja kuchukulia chakula nje huko huko!
Usiseme wanaJf hatukukwambia!