yule mtangazaji baradhuki Marine Hassan naona kaufyata kwa maana alikua anatoa sifa za dodoma ambazo hata hazikuwepo..lile tukio la kuawawa kwa wale watumishi wapima udongo liliwaogopesha wengiHivi kile kipindi cha TBC kuhusu kuhamia dodoma bado kipo?
Wachangiaji unaowashutumu wamefanya exactly kama ulivofanya wewe. Hawakutowa takwimu kwa sababu hazipo. Kama wewe unazo basi ziweke zako.Nimesoma thread kuanzia mtoa mada na wachangiaji na kilichonistua ni kuwa mtoa mada hajatoa takwimu lakini kibaya zaidi wachangiaji nao hawana takwimu na wanaunga mkono hoja? Yaani kama stori za kwenye vijiwe vya kahawa. Natoa Pongezi zangu za dhati.
Wewe mpumbavu sana! Kwa Taarifa yako tarehe 28 Feb 2017 Wizara zote zitakuwa zimehamia Dodoma awamu ya kwanzaCcm wanazani Watanzania wa sasa bado tupo wajinga wajinga wa kudanganywa
Hii ni kesi ya bwana kheri*Mbuzi Wa Bwana Heri
*Kala Mahindi Ya Bwana Heri
*Mambo Yote Ni Heri
Sasa ni mwendo wa madawa ya kulevyaHii nchi ya "Mzuka" tu... Kile kilikuwa kipaumbele cha mwezi wa nane/ tisa 2016. Baadaye mwezi wa kumi/kumi na mbili 2016 ikaja issue ya "Faru John". Hivi sana tangu Dec 2016- February 2017 issue ni "Njaa na Ukame"....
Chezea Tz wewe, nchi inayoongozwa na "Wataalamu" i.e Madr, Professors na other "elites of the sort"
In short Issue ya kuhamia Dodoma ishasahaulika sasa.
Kigwangala asipate tabu kutafuta wale vijana wasio na Marinda aanzie Lumumba mpo wengi imebaki wiki 1 kuna dalili ya wizara yoyote kuhama?.za kuambiwa changanya na zako dada yanguWewe mpumbavu sana! Kwa Taarifa yako tarehe 28 Feb 2017 Wizara zote zitakuwa zimehamia Dodoma awamu ya kwanza