GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Nilikaa tu na kujiuliza mpaka sasa ni wizara ngapi zimehamia rasmi Dodoma? waziri mkuu alisema angeongoza suala hilo la kuhamia Dodoma. Nadhani bado anamalizia kuhamisha vitu vyake pole pole maana huwa ananeda siku moja mbili anarudi tena town.
Tamko lilitolewa pasipo kuwa fikra yakinifu inawezekana ilitokea tu aliyetamka kutokana na hisia akajikuta ametamka. Na kwa bahati mbaya watanzania mambo ya masikhara huchukulia serious na mambo serious huchukulia masikhara. Suala la kuhamia Dodoma wengine walilichukulia ni jambo serious likaandikwa hata kwenye magazeti na kutangazwa sana kwenye vyombo vya habari. Wakajitokeza watu mbalimbali hata kuchangia jambo hilo kana kwamba ni jambo kuuuuubwa sana.
Likatokea jambo serious sana, maafa ya huko Kagera na hata sehemu kadhaa kuwa an njaa hili halijawa issue kubwa sana kwa kuwa, sijui.
Sasa turudi kwenye swali langu la msingi MPAKA SASA NI WIZARA NGAPI ZIMEHAMIA RASMI DODOMA?