OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,344
Kwan mmebadilika wapi?Ccm wanazani Watanzania wa sasa bado tupo wajinga wajinga wa kudanganywa
Kwan mmebadilika wapi?Ccm wanazani Watanzania wa sasa bado tupo wajinga wajinga wa kudanganywa
Hahaa utakamatwa wewe MkuuBado wanafikiria Mzee alisema dom au chato inaonekana mzee anataka kuamia chato
Muulize Marine hassan MarineHivi kile kipindi cha TBC kuhusu kuhamia dodoma bado kipo?
Takwimu zako ziko wapi ni wale wale tuuNimesoma thread kuanzia mtoa mada na wachangiaji na kilichonistua ni kuwa mtoa mada hajatoa takwimu lakini kibaya zaidi wachangiaji nao hawana takwimu na wanaunga mkono hoja? Yaani kama stori za kwenye vijiwe vya kahawa. Natoa Pongezi zangu za dhati.
Usiwe lofa wewe wizara kibao zinahama,hata ya huyo kingwangwala soon itakua dodoma,utumishi wengine wameiashatanguliaKigwangala asipate tabu kutafuta wale vijana wasio na Marinda aanzie Lumumba mpo wengi imebaki wiki 1 kuna dalili ya wizara yoyote kuhama?.za kuambiwa changanya na zako dada yangu
Ndio na majibu yapo wazi wizara zitahama kwa awamu ndani yamiaka minne..sasa kwani miaka minne tayari,?hicho kimbelembele cha mini?Wako njiani wasubirini wakifika Dodoma watawajibu.
Kwani tokea SABODO Atoe milioni mia mbili za ujenzi WA ofisi mpya ya chadema ..jengo halijaisha?TOA KWANZA KIBANZI kilicho jichoni kwakoNilikaa tu na kujiuliza mpaka sasa ni wizara ngapi zimehamia rasmi Dodoma? waziri mkuu alisema angeongoza suala hilo la kuhamia Dodoma. Nadhani bado anamalizia kuhamisha vitu vyake pole pole maana huwa ananeda siku moja mbili anarudi tena town.
Tamko lilitolewa pasipo kuwa fikra yakinifu inawezekana ilitokea tu aliyetamka kutokana na hisia akajikuta ametamka. Na kwa bahati mbaya watanzania mambo ya masikhara huchukulia serious na mambo serious huchukulia masikhara. Suala la kuhamia Dodoma wengine walilichukulia ni jambo serious likaandikwa hata kwenye magazeti na kutangazwa sana kwenye vyombo vya habari. Wakajitokeza watu mbalimbali hata kuchangia jambo hilo kana kwamba ni jambo kuuuuubwa sana.
Likatokea jambo serious sana, maafa ya huko Kagera na hata sehemu kadhaa kuwa an njaa hili halijawa issue kubwa sana kwa kuwa, sijui.
Sasa turudi kwenye swali langu la msingi MPAKA SASA NI WIZARA NGAPI ZIMEHAMIA RASMI DODOMA?
Ndio kwanza wapo Morogoro, Msamvu.Wako njiani wasubirini wakifika Dodoma watawajibu.
Taaratibu ndo mpango mzimaNilikaa tu na kujiuliza mpaka sasa ni wizara ngapi zimehamia rasmi Dodoma? waziri mkuu alisema angeongoza suala hilo la kuhamia Dodoma. Nadhani bado anamalizia kuhamisha vitu vyake pole pole maana huwa ananeda siku moja mbili anarudi tena town.
Tamko lilitolewa pasipo kuwa fikra yakinifu inawezekana ilitokea tu aliyetamka kutokana na hisia akajikuta ametamka. Na kwa bahati mbaya watanzania mambo ya masikhara huchukulia serious na mambo serious huchukulia masikhara. Suala la kuhamia Dodoma wengine walilichukulia ni jambo serious likaandikwa hata kwenye magazeti na kutangazwa sana kwenye vyombo vya habari. Wakajitokeza watu mbalimbali hata kuchangia jambo hilo kana kwamba ni jambo kuuuuubwa sana.
Likatokea jambo serious sana, maafa ya huko Kagera na hata sehemu kadhaa kuwa an njaa hili halijawa issue kubwa sana kwa kuwa, sijui.
Sasa turudi kwenye swali langu la msingi MPAKA SASA NI WIZARA NGAPI ZIMEHAMIA RASMI DODOMA?
Tumejua kuwa Ccm ni ileile ya wasanii na wapigaji hakuna wa nafuu we unaona miaka 2 imeshakatika kuna nini cha maana?Kwan mmebadilika wapi?
Kinadharia au kivitendo?Msiseme Vitu vya Uongo jaman, kama hujui bora ukaa kaa kimya mpaka sasa Wizara 7 zimeshahamia na mpaka mwezi huu unaisha wizara zote zitakuwa zimehamia, Na Watumishi wanahama kwa zamu. Kwasasa wanaohama ni Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Wakuu wa Idara, kumbeni mmeambiwa Serikali yote itakuwa Dodoma 2020.
Kwa vitendo Mkuu nenda Dodoma ukaoneKinadharia au kivitendo?