Hakuna anaependaa kwendaa kijijini mjini ndo mpango mzima, la sivyo an wewe urudi Kwanzaa kijijin kwenu
Hawana ubunifu kabisa, ndiyo maana bwana mkubwa hahangaiki nao hata siku moja.Hivi kile kipindi cha TBC kuhusu kuhamia dodoma bado kipo?
Utawala wa Herode huu,kazi ya illuminat ni kutesa binadamu,twendeni pole pole tu mungu atawapiga mapigo saba. watalia meeeee kama mbuzi.Hivi kile kipindi cha TBC kuhusu kuhamia dodoma bado kipo?
Mkuu hawa watu hawako serious katika jambo lolote, waziri mkuu alihadaa watanzania kwamba ndio anahamia rasmi na akaondoka na kupokelewa kwa shangwe na mkuu wa mkoa na raia kibao wakijua neema imewashukia awamu hii..yapo wapi sasa? Hizi ni siasa za kilimbukeni.Taifa linaongozwa kwa kauli za kibabe na kebehi,limekosa dira wala vipaumbele.Hakika huu ndio uongozi ovyo kupata kutokea kutoka taifa lipate uhuru, haina maana waliopita hawakufanya makosa, lahasha, walifanya lakini sio katika kiwango hiki.Nilikaa tu na kujiuliza mpaka sasa ni wizara ngapi zimehamia rasmi Dodoma? waziri mkuu alisema angeongoza suala hilo la kuhamia Dodoma. Nadhani bado anamalizia kuhamisha vitu vyake pole pole maana huwa ananeda siku moja mbili anarudi tena town.
Tamko lilitolewa pasipo kuwa fikra yakinifu inawezekana ilitokea tu aliyetamka kutokana na hisia akajikuta ametamka. Na kwa bahati mbaya watanzania mambo ya masikhara huchukulia serious na mambo serious huchukulia masikhara. Suala la kuhamia Dodoma wengine walilichukulia ni jambo serious likaandikwa hata kwenye magazeti na kutangazwa sana kwenye vyombo vya habari. Wakajitokeza watu mbalimbali hata kuchangia jambo hilo kana kwamba ni jambo kuuuuubwa sana.
Likatokea jambo serious sana, maafa ya huko Kagera na hata sehemu kadhaa kuwa an njaa hili halijawa issue kubwa sana kwa kuwa, sijui.
Sasa turudi kwenye swali langu la msingi MPAKA SASA NI WIZARA NGAPI ZIMEHAMIA RASMI DODOMA?
Uunaa babuu nna Bibi uupande waaa baba nna mama inabiidi urudi ukaangalie hataaa mashamba hukoMkuu je kwa sisi tuliozaliwa na kukulia humu mjini turudi wapi?
Uunaa babuu nna Bibi uupande waaa baba nna mama inabiidi urudi ukaangalie hataaa mashamba huko
Awamu ya kwanza walishindwa akina kwawa,malecela sijui hawa wa sasa waweze INA maana zile sababu za kushindwa wakati huo Leo zimeisha? wangemuuliza malecela kwanza ndiyo na wao watamke haraka harakaWizara ya UDOM
Mtendaji mkuu wa shughuli za serikali ni waziri mkuu, kwa hiyo kama waziri mkuu yupo Dodoma basi serikali ipo tayari kuleNilikaa tu na kujiuliza mpaka sasa ni wizara ngapi zimehamia rasmi Dodoma? waziri mkuu alisema angeongoza suala hilo la kuhamia Dodoma. Nadhani bado anamalizia kuhamisha vitu vyake pole pole maana huwa ananeda siku moja mbili anarudi tena town.
Tamko lilitolewa pasipo kuwa fikra yakinifu inawezekana ilitokea tu aliyetamka kutokana na hisia akajikuta ametamka. Na kwa bahati mbaya watanzania mambo ya masikhara huchukulia serious na mambo serious huchukulia masikhara. Suala la kuhamia Dodoma wengine walilichukulia ni jambo serious likaandikwa hata kwenye magazeti na kutangazwa sana kwenye vyombo vya habari. Wakajitokeza watu mbalimbali hata kuchangia jambo hilo kana kwamba ni jambo kuuuuubwa sana.
Likatokea jambo serious sana, maafa ya huko Kagera na hata sehemu kadhaa kuwa an njaa hili halijawa issue kubwa sana kwa kuwa, sijui.
Sasa turudi kwenye swali langu la msingi MPAKA SASA NI WIZARA NGAPI ZIMEHAMIA RASMI DODOMA?
Mtendaji mkuu wa shughuli za serikali ni waziri mkuu, kwa hiyo kama waziri mkuu yupo Dodoma basi serikali ipo tayari kule