Nyati John
Member
- Feb 3, 2017
- 54
- 30
Ccm wanazani Watanzania wa sasa bado tupo wajinga wajinga wa kudanganywa
. Kudhani kwetu tuko sahihi,hapa tulipofika ni matokeo ya kudhani kwetu
Ccm wanazani Watanzania wa sasa bado tupo wajinga wajinga wa kudanganywa
Dodoma kijijini? au kisa Obama hakuletwa kwenye mji mkuu wa Tanzania?Hakuna anaependaa kwendaa kijijini mjini ndo mpango mzima, la sivyo an wewe urudi Kwanzaa kijijin kwenu