msamehe tu, songa mbeleSina imani , pengine shangazi zake wanajua kinachoendelea kwahy wanaweza kuwa wananichora tuu
Bora nimalizane nae mimi na yeye
Usiingie kwenye chumba cha mtihani na majibu yako.Sina imani , pengine shangazi zake wanajua kinachoendelea kwahy wanaweza kuwa wananichora tuu
Bora nimalizane nae mimi na yeye
Good Lord...!!If you have spare time please join the social welfare desk for counselling you can help the society.
Tutafarijiana ki mas-haraNjoo pm tuongee, hata Mimi nmeachwa kimasihara kweli kweli ila tukikaa pamoja naona tutaelewana
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefukua kaburiKumbe ulikuja kusimama vema hadi ukawa "mgawa hela"
Natafuta kazi yoyote, nimehitimu shahada ya Manunuzi na Ugavi
Shukrani mkuu,Akili kubwa sana hii
thank you mumie..!!You deserve