AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,218
- 20,489
Sio mimi lakini ninachojua ukiwa na stress usingizi hauji yaan ni hivyo, kwa hio wewe ndio yule binti wa kipare?Hapana hivi unajua baadhi ya watu wana changamoto ya kukosa usingizi hujawahi kusikia ?
Wajidungue kivpUhakika, tunasubiri bodaboda wajidungue.
Utakufa na kipururu shauri yako...Yaan sitaki mtu wa kaskazini nataka kuchanganya mbegu😅😅
We mtoto mi dada ako😅 ShenziiiiSiwezo pato usingizo mudo woto nakuwozo wewo sijuo kwa nino View attachment 3590926
Hahaha nimecheka sana mpaka usingizi umekimbiaSema huna usingizi acha mbambamba! 😁
Mie ndio sina wewe je 😅 we ni muuguzi au upo chocho upige watu kabari ya shingoSema huna usingizi acha mbambamba! 😁
We haya ila ukilewa hatukuachiAseme tu yupo single alafu hana mrina asali 😆😆
Mie mpare ee unataka kusemaje🤣Sio mimi lakini ninachojua ukiwa na stress usingizi hauji yaan ni hivyo, kwa hio wewe ndio yule binti wa kipare?
Safiiii kiwashe vp lakin kipindi cha kwanza umeuwasha motoBado tunazaa, tutafute watoto saa ngapi sasa ww pimbi? Mechi ziko half time now.
Kwa kifupi nikilewa hatuachani 🤣🤣🤣We haya ila ukilewa hatukuachi
Wewe ndio yule binti wa kipare aisee ni kweli na ndio yule dada wa Pharmacy si ndio?Mie mpare ee unataka kusemaje🤣
Aseme tu yupo single alafu hana mrina asali 😆😆
Hutaona mguu wangu kwako kama ni hivyoKwa kifupi nikilewa hatuachani 🤣🤣🤣
Naona nyotanyotaWewe ndio yule binti wa kipare aisee ni kweli na ndio yule dada wa Pharmacy si ndio?
Bado una story za mchana kijana🤣Wewe ndio yule binti wa kipare aisee ni kweli na ndio yule dada wa Pharmacy si ndio?
Tulia mwanetu usije ukapandisha kisukariNaona nyotanyota
Sisi walinzi haturuhisiwi kulala bro...🙄Unawaza nini tena ?
Hebu jinu swali who are you mpka sasa hujalala ?
Alooh!.. ngoja nilale. Niamshe saa 12Hutaona mguu wangu kwako kama ni hivyo
Kwanini sasa 🤣🤣Naona nyotanyota