Mpaka leo sijaijua thamani ya 'X'

Mpaka leo sijaijua thamani ya 'X'

Mathematics help/applied to people in their daily life not necessary by complex calculations
Ofcourse X can be found... but I have been trying in vain to find one in real life.I have realized that finding the X value in real life is a "suicide mission"
 
I thought utatoa mifano ya akina fulani wa hapa Tanzania.Badala yake unatoa mifano ya watu wa mbali.

Halafu pia, mimi sijasema pesa ni kigezo pekee... lakini ukweli ni kuwa ni kigezo kikuu.Unadhani hao wote uliowatolea mfano wangefanikiwa kufanya project zao pasipo pesa???

Nini kinawakwamisha wasomi wa Tanzania kutimiza ndoto zao kama si pesa? Yesu mwenyewe hakuishi kwa kuunga unga... alikula menu expensive by that time(Samaki na mikate), na kanzu yake ilikuwa ghali kiasi ambacho waliipigia kura.

Halafu wewe leo useme mafanikio bila pesa yanawezekana... never!Utakuwa unajidanganya mwenyewe.
Nilifikiri tunajadili mjadala mpana wa lengo kuu la elimu kwa binadamu hapa duniani. Ndiyo maana nikawa najitahidi sana kueleza tofauti ya elimu ya wenzetu na yetu hii yenye lengo jepesi la kujipatia utajiri kimsingi na kifalsafa. Inaonekana tumeanza na premises tofauti na hivyo, kimantiki, hatuwezi kufikia hitimisho moja. Sorry!
 
On top of that, wamisionari walikuja kufuata rasilimali... so don't even mention them...

Mother Theresa alizaliwa ktk familia ya kitajiri sana, kama angezaliwa ktk familia masikini asingeweza kufanya alichofanya.

Unapoongelea gunduzi za wanasayansi... unaongelea pesa, someone had to invest money in it.Kitu ambacho kipo mpaka leo,... haijalishi umesoma kiasi gani, ukikosa pesa... you're useless.

So in one way or the other, success goes with money.I have made my point clear.

Na mimi mpaka leo, elimu niliyoipata naona hainisaidii chochote... so nataka nijifunze kulima vitunguu... nipate pesa, niwaajiri watu kama nyinyi mnisaidie kuongeza pesa so that mwisho wa siku niwe na POWER!
Sawa mkuu. Kila la heri katika kilimo chako cha vitunguu. Nitafurahi sana kuwa mwajiriwa wako na ukitajirika nitonye! Na ikiwezekana please usijaribu kuitumia elimu yako ambayo haijakusaidia cho chote katika kilimo chako cha vitunguu. Lima tu kama mkulima ambaye hajaenda shule. Utatajirika balaa! !!!
 
Una maana ukiwa na pesa una afya.
Fikiria vyema ndugu.
Masikini ndo wanaongoza kwa kushambuliwa na magonjwa.. sababu ni kwamba hawawezi ku-afford balanced diet, kinga, tiba na mazingira wanayoishi ni hatarishi.
 
Ukitaka kujua thamani ya X kawaulize wanaojenga mabondeni au pembeni mwa Barabara au Viwanja vya wazi
 
mkuu ni sawa ila nadhani bado sana uelewa wako.... kwa level ulio nayo huwezi ona thamani ya elimu yako. Ni kwambie tu mm ni mmoja wa watu wanaoitumia elimu vilivyo... ungekuwa daktari bingwa wa mifupa pale MOI usingeleta upuuzi wako huu. Ungekuwa Financial analyst sijui ungepata wapi muda wa kuandika haya mataputapu.... wengi wenu mkifika form two mmefeli halafu eti ooo sijaona thamani ya x... wewe vipi bana. mfano. una 1M unaenda kule kibaigwa kununua mahindi yanauzwa 90k kwa gunia. utanunua gunia ngapi (Mburura hawezi iona hapo X)....ila uzi wako naona unawashabiki wengi HONGERA
By zefarmer
 
Unaipata mara nyingi tu sema shida yako ni kutoitambua. Ukijua purpose/ goal ya wewe kufundishwa hiyo equation na equations nyingine nyingi utaona zinavyokusaidia kwenye maisha.
Nadhani ushauri huu unaweza mfaa huyu jamaa. everything has a purpose, yeye anaenda tu anapanda magorofa posta anadhani kajenga bibi yake
 
mkuu ni sawa ila nadhani bado sana uelewa wako.... kwa level ulio nayo huwezi ona thamani ya elimu yako. Ni kwambie tu mm ni mmoja wa watu wanaoitumia elimu vilivyo... ungekuwa daktari bingwa wa mifupa pale MOI usingeleta upuuzi wako huu. Ungekuwa Financial analyst sijui ungepata wapi muda wa kuandika haya mataputapu.... wengi wenu mkifika form two mmefeli halafu eti ooo sijaona thamani ya x... wewe vipi bana. mfano. una 1M unaenda kule kibaigwa kununua mahindi yanauzwa 90k kwa gunia. utanunua gunia ngapi (Mburura hawezi iona hapo X)....ila uzi wako naona unawashabiki wengi HONGERA
By zefarmer
Umesikika... unadhani wote tutakuwa madaktari MOI sio?

Muulize Kigwangalla kwanini aliandika alichoandika jana ilhali na yeye ni "dokta" kama unaowashangilia wewe.

Usiforce tufanane.Hakuna alieishia form two apa.Champ... Think outside that "box" of yours.
 
Nadhani ushauri huu unaweza mfaa huyu jamaa. everything has a purpose, yeye anaenda tu anapanda magorofa posta anadhani kajenga bibi yake
Maghorofa mengi saivi naona Group six ndo wako busy(From China)... wabongo mnashadadia tu,...

Elimu yetu bado sana.That's my point.Naona vi-wonder na sio viwanda ndo vinazidi nchi hii.

Ni wachache sana ambao wameshaipata thamani ya X,... if you know what am saying.
 
s
Umesikika... unadhani wote tutakuwa madaktari MOI sio?

Muulize Kigwangalla kwanini aliandika alichoandika jana ilhali na yeye ni "dokta" kama unaowashangilia wewe.

Usiforce tufanane.Hakuna alieishia form two apa.Champ... Think outside that "box" of yours.
Ni watu wachache sana wenye uwezo wa kusimama na kuongea hivi.... sasa mbona unataka watu wasisome watafute hela kisa tu hujaona matumizi ya four figure....wengi wenu nyie mnavihela tu vya mboga kumzidi mwl wako unaona mjanja.... sasa unataka tuanzishe sekondari za kufundisha kuchimba madini... hamna taifa linaweza kuendelea kwa kujifanya elimu haina mana watu wakalime kahawa...Bullshit.
 
Maghorofa mengi saivi naona Group six ndo wako busy(From China)... wabongo mnashadadia tu,...

Elimu yetu bado sana.That's my point.Naona vi-wonder na sio viwanda ndo vinazidi nchi hii.

Ni wachache sana ambao wameshaipata thamani ya X,... if you know what am saying.
Unachosema na uhalisia ni tofauti china haikuanza kujenga magorofa from know-where (kama ukitaka kufananisha TZ na china) we are in the early stage of development, hatuwezi tengeneza ndege kama hatujatengeneza mtambo wa kuchangenya zege....
Watu walikuja na sera eti wote wanaoongoza mtihani form six wasome ndani ya nchi...kisa tunaliaibisha taifa (sina tusi)..nchi mnazolinganisha leo nazo wanastrategy zakuiba maarifa kutoka nje na njia bora ni kupeleka vijana kwa wingi wasome wapate maarifa warudi waiendeleze nchi.....
Tatizo letu sisi kila mtu mwanasiasa, wewe mwenyewe unaleta huku utumbo huu mtoto wako akifeli unasikitika (unajielewa kweli)....
Any way.......let nature drive our future.
By zefarmer
 
s

Ni watu wachache sana wenye uwezo wa kusimama na kuongea hivi.... sasa mbona unataka watu wasisome watafute hela kisa tu hujaona matumizi ya four figure....wengi wenu nyie mnavihela tu vya mboga kumzidi mwl wako unaona mjanja.... sasa unataka tuanzishe sekondari za kufundisha kuchimba madini... hamna taifa linaweza kuendelea kwa kujifanya elimu haina mana watu wakalime kahawa...Bullshit.
Ts not bulls shit... actually ts bulls eye!!!

Actually VETA type of studies is ... just perfect! We should invest more into that stuff.

Nikiwa rais wa nchi, ntahakikisha nafumua fumua mfumo wa elimu.Kwanza ntafuta kabisa somo la HISTORY. Useless!!?!!
 
Unachosema na uhalisia ni tofauti china haikuanza kujenga magorofa from know-where (kama ukitaka kufananisha TZ na china) we are in the early stage of development, hatuwezi tengeneza ndege kama hatujatengeneza mtambo wa kuchangenya zege....
Watu walikuja na sera eti wote wanaoongoza mtihani form six wasome ndani ya nchi...kisa tunaliaibisha taifa (sina tusi)..nchi mnazolinganisha leo nazo wanastrategy zakuiba maarifa kutoka nje na njia bora ni kupeleka vijana kwa wingi wasome wapate maarifa warudi waiendeleze nchi.....
Tatizo letu sisi kila mtu mwanasiasa, wewe mwenyewe unaleta huku utumbo huu mtoto wako akifeli unasikitika (unajielewa kweli)....
Any way.......let nature drive our future.
By zefarmer
Noooo let's not allow nature to decide.We can decide... by having the "national agenda" on our education system.

Let's make reforms.Elimu yetu imetuandaa kuwa "wanasiasa" zaidi, kuliko kuwa watendaji... so brother; blame it on the SYSTEM.
 
Ts not bulls shit... actually ts bulls eye!!!

Actually VETA type of studies is ... just perfect! We should invest more into that stuff.

Nikiwa rais wa nchi, ntahakikisha nafumua fumua mfumo wa elimu.Kwanza ntafuta kabisa somo la HISTORY. Useless!!?!!
Aisee we jamaa natamani sana ningekuwa nakufahamu nikualike pale Mrina bar upate somo halisi... kiuhalisia if you what to talk real VETA and how it should be MATHEMATICS (thamani ya X) sio kitu cha kukwepa...pili. we need exact ratio ya maengineer waha wanajiita artsan etc ...veta type haiwezi kwenda kama tutakumbutia UVETA. Kwa ufupi VETA can't exist without normal/formal education...as you call it. nakubaliana na wewe kuwa Vocational Education and Technical training kwa sasa hazifanyi vizuri..na hii hawezi kutupa nafasi ya ku criticize formal type...
 
Noooo let's not allow nature to decide.We can decide... by having the "national agenda" on our education system.

Let's make reforms.Elimu yetu imetuandaa kuwa "wanasiasa" zaidi, kuliko kuwa watendaji... so brother; blame it on the SYSTEM.
Hatuwezi kubadili mfumo kabla ya kubadili fikra ya mtu mmoja mmoja...system is me and U plus MAGU plus others
 
Hahaa, mie sayansi kimu ya shule ya msingi na somo la mapishi (cookery) sekondari yalinifaa sana,
mengine yaliyobakia yalikua ni kuongeza ufahamu tu na sio ujuzi!
 
Aisee we jamaa natamani sana ningekuwa nakufahamu nikualike pale Mrina bar upate somo halisi... kiuhalisia if you what to talk real VETA and how it should be MATHEMATICS (thamani ya X) sio kitu cha kukwepa...pili. we need exact ratio ya maengineer waha wanajiita artsan etc ...veta type haiwezi kwenda kama tutakumbutia UVETA. Kwa ufupi VETA can't exist without normal/formal education...as you call it. nakubaliana na wewe kuwa Vocational Education and Technical training kwa sasa hazifanyi vizuri..na hii hawezi kutupa nafasi ya ku criticize formal type...
Hapo tunaenda sawa.Tunahitaji mabadiliko kwa kweli.
 
Back
Top Bottom