Hitimisho? Elimu lengo lake ni kumtajirisha aipataye? I give up!Huo ndo uhalisia, kila binadamu anahitaji kukidhi mahitaji yake ya kila siku.Kama kipato chako ni kidogo, huwezi kuwa na utulivu wa akili hata siku moja.
Money comes first.Ukishapata pesa, kinachofuata ni power.Hapo ndipo unakutana na watu wenye pesa na wenye nguvu katika jamii.
Hata kijijini kwenu (achilia mbali kwenye ukoo wenu), mwenye sauti katika jamii ni yule mwenye pesa(bila kujali ana elimu gani)
Hata nchini kwetu hapa Tanzania, mwenye pesa ndio mwenye sauti... wasomi wamebaki kuwa wapiga kelele zisizo sikika... mwisho na wao wameamua kuachana na 'usomi' wao hatimaye tunawaona katika siasa.
Everyone is looking for money and power.Ndo maana hata elimu kwa sasa inayoshika kasi ni ile ya "ufundi" na ujasiriamali.
Unaonesha wazi ni mwanachama mzuri wa XXX.Angalia zisikuathiri
wanaita darasa huruahaaaa kumbe? thanks for the information.Yule ni EX sio X. EX = Expired!!
HITIMISHO: Elimu lengo lake ni kumletea mhusika MAFANIKIO... Mafanikio ni uwezo wa kukidhi mahitaji muhimu, uwezo wa kutoka level moja kwenda nyingine.Hitimisho? Elimu lengo lake ni kumtajirisha aipataye? I give up!
Big NO.... Big lie.HITIMISHO: Elimu lengo lake ni kumletea mhusika MAFANIKIO... Mafanikio ni uwezo wa kukidhi mahitaji muhimu, uwezo wa kutoka level moja kwenda nyingine.
Mfano: kutoka nyumba ya kupanga kwenda nyumba yako.. ni mafanikio.
Kwa vyovyote vile, pesa na mafanikio haviachani.Huna pesa, huna mafanikio.
tulia nimuulize demu wangu thamani ya X
Pesa haiwezi kuwa KIGEZO PEKEE cha mafanikio; na elimu lengo lake kuu haliwezi kuwa pesa. Kwa hiyo akina Albert Einstein, Gregory Mendel, Demetri Mendeleev, Pierre Currie, Galileo Galilei, John Maxwell na wanasayansi wengine, academicians, wanamapinduzi, wanasiasa waadilifu na wasomi wengine wote waliokufa bila kutajirika hawakuwa wasomi na hawakuwa na mafanikio? Mother Theresa alikuwa na mafanikio? Wamishenari walioacha makwao kuja Afrika na kwingineko mpaka wengine wakafia huko wakiwa masikini wa kutupwa walikuwa na mafanikio? Yesu Alikuwa na mafanikio? You have a myopic, childish, materialistic, selfish and crude view of education and human purpose on this planet na kama Afrika tunasimika na kuunda mitaala ya kusomesha watoto wetu kwa lengo la pesa kamwe hatutakaa tuendelee. With this type of core reasoning, THERE IS NO HOPE FOR AFRICA....and I am out!!!HITIMISHO: Elimu lengo lake ni kumletea mhusika MAFANIKIO... Mafanikio ni uwezo wa kukidhi mahitaji muhimu, uwezo wa kutoka level moja kwenda nyingine.
Mfano: kutoka nyumba ya kupanga kwenda nyumba yako.. ni mafanikio.
Kwa vyovyote vile, pesa na mafanikio haviachani.Huna pesa, huna mafanikio.
I thought utatoa mifano ya akina fulani wa hapa Tanzania.Badala yake unatoa mifano ya watu wa mbali.Pesa haiwezi kuwa KIGEZO PEKEE cha mafanikio; na elimu lengo lake kuu haliwezi kuwa pesa. Kwa hiyo akina Albert Einstein, Gregory Mendel, Demetri Mendeleev, Pierre Currie, Galileo Galilei, John Maxwell na wanasayansi wengine, academicians, wanamapinduzi, wanasiasa waadilifu na wasomi wengine wote waliokufa bila kutajirika hawakuwa wasomi na hawakuwa na mafanikio? Mother Theresa alikuwa na mafanikio? Wamishenari walioacha makwao kuja Afrika na kwingineko mpaka wengine wakafia huko wakiwa masikini wa kutupwa walikuwa na mafanikio? Yesu Alikuwa na mafanikio? You have a myopic, childish, materialistic, selfish and crude view of education and human purpose on this planet na kama Afrika tunasimika na kuunda mitaala ya kusomesha watoto wetu kwa lengo la pesa kamwe hatutakaa tuendelee. With this type of core reasoning, THERE IS NO HOPE FOR AFRICA....and I am out!!!
On top of that, wamisionari walikuja kufuata rasilimali... so don't even mention them...Pesa haiwezi kuwa KIGEZO PEKEE cha mafanikio; na elimu lengo lake kuu haliwezi kuwa pesa. Kwa hiyo akina Albert Einstein, Gregory Mendel, Demetri Mendeleev, Pierre Currie, Galileo Galilei, John Maxwell na wanasayansi wengine, academicians, wanamapinduzi, wanasiasa waadilifu na wasomi wengine wote waliokufa bila kutajirika hawakuwa wasomi na hawakuwa na mafanikio? Mother Theresa alikuwa na mafanikio? Wamishenari walioacha makwao kuja Afrika na kwingineko mpaka wengine wakafia huko wakiwa masikini wa kutupwa walikuwa na mafanikio? Yesu Alikuwa na mafanikio? You have a myopic, childish, materialistic, selfish and crude view of education and human purpose on this planet na kama Afrika tunasimika na kuunda mitaala ya kusomesha watoto wetu kwa lengo la pesa kamwe hatutakaa tuendelee. With this type of core reasoning, THERE IS NO HOPE FOR AFRICA....and I am out!!!
Huna pesa huthaminiwi, hata usipokuwepo vikao vya familia vinaendelea... sasa pata pesa uone, hawafanyi kikao mpaka "mukubwa" ufike.Linganisha pesa na mahusiano mazuri na ndugu zako jamaa na marafiki.
Let Y = 0
Hence: X =3+ 4(0)
X =3
Mathematics help/applied to people in their daily life not necessary by complex calculationsLet Y = 0
Hence: X =3+ 4(0)
X =3