Mpaka leo sijaijua thamani ya 'X'

Hujajibu swali mkuu...

Mafanikio maana yake nini?
Mkuu, ukisoma vizuri comments zangu hapo juu, jibu la swali lako utalipatamo. Na kila mmoja ana tafsiri yake ya mafanikio. Ndiyo maana usije kushangaa kumsikia Bill Gates akilalamika kuwa hajafanikiwa; na akakuambia kuwa anatamani sana siku moja naye afanikiwe kama Mother Theresa

Naionea huruma sana jamii ambayo inapima mafanikio ya watu wake (wakiwemo wasomi wake) kwa kuangalia utajiri walio nao. Na unaweza kutumia kigezo hiki tu kujua kama jamii fulani imeendelea na inazalisha wasomi wenye tija ama la!
 
Lakin kutokusoma sana ndio kusoma kwenyewe....
Kuna aliejifunza kulima vitunguu kwa wiki mbili na kuna aliesoma mada ya RISE & FALL OF SONGHAI EMPIRE... Hawa wote wamesoma, ila kuna mmoja kasoma kitu ambacho hakimsaidii.Yaani... amepoteza muda!
 
Mkuu, ukisoma vizuri comments zangu hapo juu, jibu la swali lako utalipatamo. Na kila mmoja ana tafsiri yake ya mafanikio. Ndiyo maana usije kushangaa kumsikia Bill Gates akilalamika kuwa hajafanikiwa; na akakuambia kuwa anatamani sana siku moja naye afanikiwe kama Mother Theresa

Naionea huruma sana jamii ambayo inapima mafanikio ya watu wake (wakiwemo wasomi wake) kwa kuangalia utajiri walio nao. Na unaweza kutumia kigezo hiki tu kujua kama jamii fulani imeendelea na inazalisha wasomi wenye tija ama la!
Huo ndo uhalisia, kila binadamu anahitaji kukidhi mahitaji yake ya kila siku.Kama kipato chako ni kidogo, huwezi kuwa na utulivu wa akili hata siku moja.

Money comes first.Ukishapata pesa, kinachofuata ni power.Hapo ndipo unakutana na watu wenye pesa na wenye nguvu katika jamii.

Hata kijijini kwenu (achilia mbali kwenye ukoo wenu), mwenye sauti katika jamii ni yule mwenye pesa(bila kujali ana elimu gani)

Hata nchini kwetu hapa Tanzania, mwenye pesa ndio mwenye sauti... wasomi wamebaki kuwa wapiga kelele zisizo sikika... mwisho na wao wameamua kuachana na 'usomi' wao hatimaye tunawaona katika siasa.

Everyone is looking for money and power.Ndo maana hata elimu kwa sasa inayoshika kasi ni ile ya "ufundi" na ujasiriamali.
 
Usinidanganye wala usijidanganye kuwa hesabu zote ulizojifunza umeshazi-apply ktk maisha.

Ninachofahamu, asilimia 90 ya ulichojifunza kilikuwa kwaajili ya kujibia mtihani, tena ujibu kulingana na marking scheme not otherwise.

Utoto uko wapi.... kuhoji relevance ya mitaala yetu au kuendelea kufurahia uozo?
Akili... Ukitembea unahesabu hatua, ukila unahesabu matonge, ukise..x unahesabu mabao. Hata mipango yako yote unaipanga katika mtiririko wa kimahesabu
 
Ukisoma PCB halafu ukaenda BCom in marketing hautaona maana ya dissection za vyura ulizofanya A level.

Hao ambao hawajasoma halafu wakawa Matajiri,wanahakikisha watoto wao wanasoma kweli kweli.
Well...na anawasomesha sio ili wakaajiriwe ila kuendesha biashara za familia kisomi zaidi,namfahamu mzee mmoja tajiri wanae wote,mmoja mhasibu,mmoja engineer mwingine mwanasheria na wengine wawili wamesomea biashara wote wameungana kufanya kazi pamoja,kampuni ikitaka kujenga ghorofa mtoto anahusika kampuni ikiwa na case mtoto anahusika na wanakimbiza hatari japo wao kama watoto wana miradi yao inayowaingizia kipato.swali ni kwetu maskini tunapowahimiza wanetu wasome(sisemi wasisome)tukiwaambia urithi mzuri ni elimu ilhal tunajua kabisa ajira ni ngumu mtu unazunguka miaka minne na bahasha kutafuta ajira wakati yule alieishia std7 anawaza mwaka huu akaongeze nyumba au afungue biashara gani!sijui pana siri gani hapa,asiyesoma ana mafanikio makubwa aliyesoma anagaragara kwenye dimbwi kubwa la umaskini!
 
Maana ya elimu ni kupata uelewa wa vitu mbali mbali... kuna watu wamesoma RISE AND FALL OF SONGHAI EMPIRE sasa hv wamekuwa walimu wanawafundsha watu wakati huo huo huyo mwalimu alisoma AGRICULTURE.. lakin hyo agricuture haimsadii kbsa
 
Ukitaka kujua thamani ya X tembelea hizi sites pornhub.com, xxvideos.com, xshare.com, youporn.com na nyingine kama hizo
 
Kwa hiyo kwanini tuna mitaala inayotuacha njia panda namna hii?? kwanini tusiibadilishe
 
Ukitaka kujua thamani ya X tembelea hizi sites pornhub.com, xxvideos.com, xshare.com, youporn.com na nyingine kama hizo
Unaonesha wazi ni mwanachama mzuri wa XXX.Angalia zisikuathiri
 
Huu ni ushahidi kuwa elimu haiwasaidii wengi wa "waliosoma"
4bef8141d76b9066790032d617433aac.jpg
 
Back
Top Bottom