Moyo Mashine....

Moyo Mashine....

Mkuu hata mimi sijui. Kwahio wimbo ni mmoja, nyimbo ni nyingi? Huwa nachanganya tu.

Mm sio mtaalam wa kiswahili cha class ila najua Wimbo (huo), kisu (hicho), utashangaa sana kusikia mtu anasema 'mguu hiyo' how comes??

Wimbo ni (huo) sio wimbo/nyimbo (hiyo) ni ushamba wa kijinga
 
mwenyewe nimemkumbuka tu kwenye mboga saba mashairi yake yananihusu huwa nacheka sana sijui hata wimbo wake mwingine
Kuna ule Pesa....ni mzuri ukiwa kwenye partying mood making it rain,if you what i mean....hebu funguka mistari gani ya mboga saba inakuhusu?
 
Mmh kwa wale wasiokufahamu eeeh, ntawashtua mapema mbona

Teh wimbo wanausikia na wanauimba vizuri tu, kama hauwahusu vile
Hebu futa kauli tafadhali......Kwenye video ya moyo mashine naona ile dinner unayoiota! 🙁🙁🙁
 
Juzi kati nilikuwa nasikiliza redio nikasikia huu wimbo 'moyo mashine' nikajiuliza ni nani huyu anajua kuimba hivi. Kutafutatafuta nikaona jina Ben Pol, nishalisikia ila nikajiuliza wombo huu angepiga Diamond mjini pangekalika hapa?!!

Maanake kila siku nasikia Diamond....Dangote sijui nini na nini kumbe kuna vijana wengine wanajua kuimba namna hii!!!

NB: Sina timu jamani msianze kunishambulia, nimependa tu kazi ya huyu kijana. sio utani watoto wa siku hizi wanajuajua kuimba.


Kijana katoa kitu kimeenda shule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom