Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
HapanaLile la wakubwa huwa unapita?
HapanaLile la wakubwa huwa unapita?
Emoj emojHapana
Kubweteka. Ndo maana diamond kla ukfungua radio lazma uskie nymbo zake/kashrkshwa.Nyimbo nzuri sana.
Kupitia nyimbo hii Ben Pol amepata na anaendelea kupata mafanikio makubwa kiasi amesema hata akikaa mwaka mzima bila kutoa nyimbo.moyo mashine itaendelea kumlipa
Alitamba na ngoma inaitwa "Sophia"Before hit song hii alitamba na wimbo gani? Siku nyingi zitakuwa zilipita.
Kutungiwa sio tatizo hadi akina rihanna, justin bieber na mastaa kibao wa huko mbele wanatungiwa mashairi.Nashukuru mkuu
Yes ni jambo zuri
*mbona naskia Linah toka ana zaliwa hajawahi tunga wimbo wake hata mmoja so ni swa tuu