Moyo Mashine....

Moyo Mashine....

Juzi kati nilikuwa nasikiliza redio nikasikia huu wimbo 'moyo mashine' nikajiuliza ni nani huyu anajua kuimba hivi. Kutafutatafuta nikaona jina Ben Pol, nishalisikia ila nikajiuliza wombo huu angepiga Diamond mjini pangekalika hapa?!!

Maanake kila siku nasikia Diamond....Dangote sijui nini na nini kumbe kuna vijana wengine wanajua kuimba namna hii!!!

NB: Sina timu jamani msianze kunishambulia, nimependa tu kazi ya huyu kijana. sio utani watoto wa siku hizi wanajuajua kuimba.

Huyu kijana yuko vizuri sana nahisi anakosa promotion ya kutosha,ni tangu amenza kuimba Ben Pol ana sauti ya kiuimbaji,ila inapokuja kwenye maswala ya nyota ndio hapo unakuta watu kama wakina Diamond za kwao zina ng'ara sana.
 
Haha I'm your sweet mangi. Wamefanya vizuri kama kawaida yao

Kuna too much ya darassa
Inde ya dully na harmonize (zile style za kucheza sasa)
Mboga saba ya byser na kiba
Wivu ya jux etc. Hizi kila nikichungulia tv nazikuta
naona wewe una taste kama mimi darasa ni mzuri sana mboga saba huwa naipenda jinsi mademu wa uswazi tunavochambwa mle ahahaa yaani huwa nacheka sana kama kweli vile jux ni mzuri ila naona mbana pua sana halafu barnaba nae mahaba yake yamezidi clouds huwa wanambeba sana habebeki nadhani kwa siku mziki wake unapigwa mawinguni kwa asilimia 90
 
Miss, barnaba anafanya music classic, yule ni package. Anatunga, anaimba (anavyocheza na ile sauti yake hakunaga tu) na anapiga vyombo, Barnaba habebwi. Kama kuna watu ambao ni wakubwa ila hawathaminiwi sawa na ukubwa wao barnaba yupo aisee. Sijui ni nyota, Sijui ni mbinu za music, sielewagi hata. Nyimbo za Barnaba hadi uzicopy, jipange mnoooo. He is unique
 
Miss, barnaba anafanya music classic, yule ni package. Anatunga, anaimba (anavyocheza na ile sauti yake hakunaga tu) na anapiga vyombo, Barnaba habebwi. Kkama kuna watu ambao ni wakubwa ila hawathaminiwi sawa na ukubwa wao barnaba yupo aisee. Sijui ni nyota, Sijui ni mbinu za music, sielewagi hata
watu wamechoka mawingu na watu wao angeishi bila team
 
Ukifanya kitu kizuri kinakubalika tu...so far moyo mashine imekuwa anthem.
Upo sahihi mkuu. Ingekuwa vizuri mameneja wenye channel za kimataifa waka push wasanii wenye uwezo km Ben Pol kufanya vizuri kimataifa ili bongofleva ifike mbali na wasanii wengi kutoka Tz
 
Jamaa ana kipaji
1475218009139.jpg
 
Huyu kijana yuko vizuri sana nahisi anakosa promotion ya kutosha,ni tangu amenza kuimba Ben Pol ana sauti ya kiuimbaji,ila inapokuja kwenye maswala ya nyota ndio hapo unakuta watu kama wakina Diamond za kwao zina ng'ara sana.
Inabidi awe msanii sasa. Kuwa muimbaji na msanii ni vitu viwili tofauti. So far ni muimbaji mzuri sana.
 
Haha I'm your sweet mangi. Wamefanya vizuri kama kawaida yao

Kuna too much ya darassa
Inde ya dully na harmonize (zile style za kucheza sasa)
Mboga saba ya byser na kiba
Wivu ya jux etc. Hizi kila nikichungulia tv nazikuta
Hii nayo naielewa kiaian...dedication kwa wale wanaopenda kufuatilia yasiyowahusu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom