Maanake kila siku nasikia Diamond....Dangote sijui nini na nini kumbe kuna vijana wengine wanajua kuimba namna hii!!!
Inawezekana kabisa aiseeJamaa ni mdau kule?!
Kuna young talents nyingi zinafanya vizuri sanaKila siku nasikia Diamond,Ali K kumbe kuna vijana wengine wana vipaji.
Ngoja akusifie na wewe kwa kuzungusha mikono, maana ndo wanaume wa Dar sifa zenu...Ulikuwa wapi kumsifia mda wote huo? Wanaume wa mikoani bwana
ni wapya masikioni mwakoHao si wanamuziki wapya?
P0A P0A NIMEKUPATAKumbe hata huelewi nikisema nimepitwa na wakati.
Usikute leo ndo umesikiliza tena radio. Haya good boyNimeusikia....mzuri sana.

Nilistuka niliposoma eti Barnaba anabebwa, seriously!!!Miss, barnaba anafanya music classic, yule ni package. Anatunga, anaimba (anavyocheza na ile sauti yake hakunaga tu) na anapiga vyombo, Barnaba habebwi. Kama kuna watu ambao ni wakubwa ila hawathaminiwi sawa na ukubwa wao barnaba yupo aisee. Sijui ni nyota, Sijui ni mbinu za music, sielewagi hata. Nyimbo za Barnaba hadi uzicopy, jipange mnoooo. He is unique
Hahaha yani Barnaba me naona hata hatendewi haki kwa yale mambo yake amazing anayofanya. Ka mtu kana mwili mdogo ila mambo yake sasa khaaNilistuka niliposoma eti Barnaba anabebwa, seriously!!!
Hahahaaaaa!! Thats my dota.Aaaah nshomile acha utani, barnaba ni humuelewagi kweli au hujawahi kumpa attention ukamsikiliza vizuri? Anyway taste zinatofautiana sometimes, sijawahi sikiliza nyimbo ya barnaba afu ikawa mbaya. Ukiondoa bella, mtu mwingine mwenye vocal ya uhakika ni barnaba, afu anapiga vitu vyake effortlessly
Hii mistari inanikunaga acha kabisa.Track ingine nikiisikia lazima niongeze sauti ya redio ni Sweet Mangi....Kuna mistari mizuri sana
'sitakununulia brazilian hair nitakupa mtaji wa kuwauzia brazilian hair...'
'sitaki nikufanye tu, nataka nikufanyr mwanamke mjasiriamali..'
Hajatendewa haki kabisa, yaani akina Ben na Barnaba ndio walitakiwa watuwakilishe kimataifa huko.Hahaha yani Barnaba me naona hata hatendewi haki kwa yale mambo yake amazing anayofanya. Ka mtu kana mwili mdogo ila mambo yake sasa khaa
Inabidi pia kuwa na spirit ya ujasiriamali wa music kama Dai pia lol + management ya uhakikaHajatendewa haki kabisa, yaani akina Ben na Barnaba ndio walitakiwa watuwakilishe kimataifa huko.
Sitakupa Indian hair, ntakupa mtaji wa kuwauzia brazilian hairTrack ingine nikiisikia lazima niongeze sauti ya redio ni Sweet Mangi....Kuna mistari mizuri sana
'sitakununulia brazilian hair nitakupa mtaji wa kuwauzia brazilian hair...'
'sitaki nikufanye tu, nataka nikufanyr mwanamke mjasiriamali..'
Mmh ulivyo mroho wa hela, usije tu ukahama from sweet ngosha to sweet mangiHii mistari inanikunaga acha kabisa.
Ngosha nilishasema sitaki tenaaaa, mpango ni sweet mangi tu.Sitakupa Indian hair, ntakupa mtaji wa kuwauzia brazilian hair
Sitakupa brazilian hair, ntakupa mtaji wa kuwauzia peruvian hair
Mmh ulivyo mroho wa hela, usije tu ukahama from sweet ngosha to sweet mangi
Ila sio mimi, I am a good boyHahahaaaaa!! Thats my dota.
He he he nafwaazNgosha nilishasema sitaki tenaaaa, mpango ni sweet mangi tu.