Moyo Mashine....

Moyo Mashine....

Sijui why sijawahi kum feel huyu msanii...
sijui why.....
Tumia muda wako mkuu, utamuelewa. Dogo anafanya vizuri. Sisi wa huku tunasema: JITIHADA HAISHINDI KUDRA. Ipo siku yake.
 
Huwa sipendi nyimbo style ya bolingo za ki congo lakini C. Bella kanibadilisha ile hit song yake 'mie mie mie mieeeeeeeeee....
Hahaha ile "nashindwa", kwangu ndo wimbo bora wa Bella hadi leo. Now ametoa wimbo mwingine unaitwa "nishike", bonge la song kama kawaida yake.

Barnaba humsikilizagi lol
 
Hio 'nashindwa' kama kawaida ilibidi niulize nani huyu ndio nikaambiwa ni c.bella bingwa wa vocals...barnaba sijasikia nyimbo ikanivutia.
 
Aaaah nshomile acha utani, barnaba ni humuelewagi kweli au hujawahi kumpa attention ukamsikiliza vizuri? Anyway taste zinatofautiana sometimes, sijawahi sikiliza nyimbo ya barnaba afu ikawa mbaya. Ukiondoa bella, mtu mwingine mwenye vocal ya uhakika ni barnaba, afu anapiga vitu vyake effortlessly
 
Tatizo huwa nawasikia redioni na huwa sina zaidi ya nusu saa kusikiliza redio fm. Kwahio muda huo ndio nikisikia kitu amazing kama Moyo Mashine ndio nachukua hatua kufuatilia. Si unaona mimi nineishtukia moyo mashine a week ago kumbe imetoka siku nyingi. Ila recently kila nikisikiliza redio hata 15mins naisikia.
 
eeeeh hilo nililihisi pia, ndo maana masong amazing mengi yanakupita. Sasa hivi barnaba ana- hit na "lover boy", utausikia tu coz unapigwa sana pia
 
Nimeusikia...chorus 'dont call me lover boy....'
 
Track ingine nikiisikia lazima niongeze sauti ya redio ni Sweet Mangi....Kuna mistari mizuri sana
'sitakununulia brazilian hair nitakupa mtaji wa kuwauzia brazilian hair...'
'sitaki nikufanye tu, nataka nikufanyr mwanamke mjasiriamali..'
 
Huo huooooo

Najua ushaumizwa mengi sana, ushakutana na ma-heart breaker,
Ila sio mimi, I am a good boy.
Walishazichezea hisia zako mpenzi wangu,
mwisho wa siku wakakuacha ukilia
Mapenzi ukayachukia,
ila sio mimi....;I am a good boy, I am a good boy.....
 
Ngoja nichukue lines hizo nizifanyie practical.🙂🙂🙂
 
Track ingine nikiisikia lazima niongeze sauti ya redio ni Sweet Mangi....Kuna mistari mizuri sana
'sitakununulia brazilian hair nitakupa mtaji wa kuwauzia brazilian hair...'
'sitaki nikufanye tu, nataka nikufanyr mwanamke mjasiriamali..'
Haha I'm your sweet mangi. Wamefanya vizuri kama kawaida yao

Kuna too much ya darassa
Inde ya dully na harmonize (zile style za kucheza sasa)
Mboga saba ya byser na kiba
Wivu ya jux etc. Hizi kila nikichungulia tv nazikuta
 
Track ingine nikiisikia lazima niongeze sauti ya redio ni Sweet Mangi....Kuna mistari mizuri sana
'sitakununulia brazilian hair nitakupa mtaji wa kuwauzia brazilian hair...'
'sitaki nikufanye tu, nataka nikufanyr mwanamke mjasiriamali..'
aahaaa mtaji ni wa peruvian hair bana.je mboga saba? wa blue jamaa katuponda sana mademu wa uswazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom