Moyo Mashine....

Moyo Mashine....

Nashukuru mkuu
Yes ni jambo zuri

*mbona naskia Linah toka ana zaliwa hajawahi tunga wimbo wake hata mmoja so ni swa tuu
Nimemkumbuka, anaitwa lolimmwa sijui kama nimepatia spelling... Yeah kuimba ni jambo lingine na utunzi ni jambo lingine.. Tafuta Ngoma nyingine Ben amefanya cover ya Afro.. inaitwa Afro hivyo hivyo.. ni ile ya Les wa nyika.
 
Unawapenda wakwe zako eeh (benny na Paulo lol). Afu waongezee barnaba boy (lover boy) na Christian Bella (nishike), hawa watu hapana tu
Huwa sipendi nyimbo style ya bolingo za ki congo lakini C. Bella kanibadilisha ile hit song yake 'mie mie mie mieeeeeeeeee....
 
Nyimbo nzuri sana.
Kupitia nyimbo hii Ben Pol amepata na anaendelea kupata mafanikio makubwa kiasi amesema hata akikaa mwaka mzima bila kutoa nyimbo.moyo mashine itaendelea kumlipa
Sidhani, mwimbo huu ni big G, hutausikia baada ya muda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom