Movie na series unazozipenda

Movie na series unazozipenda

naomba mnijulishe je ni series gani inaweza kua nzuri kwa kuangalia kila epsod inaipoisha kama ilivyo prison break na 24 .. iswe ya iwongouwongo (imagimation) . wala iawe kama vampire diary au true blood . iwe yenye ureality . na storry ya maana .

Nakushauri angalia SCANDAL You will like it. Suits pia si mbaya and breaking bad, white collar, homeland and covert affair. thank me later!!!
 
Tafuta hizi series zimejaribu kufikia kwa 24
1. Nikita
2. Missing
3. Traveller( hii ipo season 1 ilisitishwa sijui shida ilikuwa nn)

mkuu hiyo traveller ingeendelea ndo ingekua zaid ya PB na 24 hizo zingine zimezid maigizo sana
 
Nakushauri angalia SCANDAL You will like it. Suits pia si mbaya and breaking bad, white collar, homeland and covert affair. thank me later!!!

homeland,nikita,,,aaaah zimenifanya nipende sana series za intelijensia,,,,hata kama wanaigiza wenzetu wanaelewa nini maana ya Usalama wa Taifa,,,au nini maana ya secret agency,,,,
 
Ila wenzio huko marekani wameipigia kura ''breaking bad'' kua series bora zaidi ya prison break na 24, yani sijawaelewa kabisa sababu zao maana nimeeangalia hiyo breaking bad season 1 kweli haifikii pb

Series kali kuliko zote kuwa kutengenezwa u.s.a ni "breaking bad na "game of thrones " zote zina score ya 9.4/10 katika IMDB ( internet movie data base ) hao wajinga wajinga wengine wote wanaishia 8.8 kina 24 na prison break bt hizo mbili ndio best series of all the time na mie naungabmkono
 
kwa definition yako naona nawe umekurupuka mzee so naomba nirudie maelezo yangu. "Breaking bad na Game of throne ziko head to head kama best drama series on television RIGHT NOW. Agent of shield umebugi(meaning ni horrible na sio ya kumshauri m2 aangalie).......... And unadiriki kuweka falling skies kwene list 1 na hizo other series (which is even more horrible) hence my conclusion ni kuwa nina mashaka hujawahi ziona hizi two series maana mtu mzima hawezi ziangalia hizi series(S.H.I.E.L.D and Falling Skies) na akarecommend kwa m2 mwingine aziangalie (unless anamchukia na unataka kumpotezea mda i.e.). Sina povu brother I'm thee most calm guy on earth.

Mkuu ww ndio unajua series best series ever made ndio hizo "game of thrones " na "breaking bad" all with IMDB score ya 9.4/10 hizo series zenu zote zinaishia 8.8/10 series hizi mbili zinafiatiliwa had na obama mwenyenywe rihana na bufet , bila kumsahau bill gate acha kabisaaa hizi zingine nzuri bt haijawahi tokea kama hizi zakina walter white
 
mi si mcheki sirizi ila nilipoicheki game of thrones nikaipenda sana. tatizo sipendi frustrations za kusubiria kila wiki nikaamua nidownload vitabu vyake nisome.
 
mi si mcheki sirizi ila nilipoicheki game of thrones nikaipenda sana. tatizo sipendi frustrations za kusubiria kila wiki nikaamua nidownload vitabu vyake nisome.

Umedownload website gani maana mie ninavyo hard copy viwili ningefurahi kama ungenielekeza na mie nidownload nimalizie soma au nitumie ktk e-mail naomba yangu mkubyamaswi@gmail.com
 
tafuta strike back,bonge la series,japo season 4 ni kali lakn kuna epsod sjaikubal lkn kali mno.
 
Tafuta series inaitwa weeds, ni nzuri ipo season 1 mpaka 8, ukianza kuangalia utatamani uendelee, kama ilivyokuwa prison break
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom