Sidhani kama imetokea, tusubiri tu 24 inarudi March
kwa kupata entertainment nzuri.. akushauri uagalie Fox kila Monday saa 21pm. kuna series Walkers...(Walking Dead).
imeeenda kiasi.
mpaka sasa hakuna series iliyokua nzuri zaidi ya ..prison break .
naomba mnijulishe je ni series gani inaweza kua nzuri kwa kuangalia kila epsod inaipoisha kama ilivyo prison break na 24 .. iswe ya iwongouwongo (imagimation) . wala iawe kama vampire diary au true blood . iwe yenye ureality . na storry ya maana .
Kuna hizi zinaitwa Alias na nyengine ni Lost,zitafute ila Prison break hawaiwezi kwa kuwa wahusika karibu wote walipatwa na matatizo kwa njia moja ama nyengine,naikubali sana P.B
Nalog off
Hostages
Breaking bad
Agent of shield
Under the dome
Falling skies
Nikita
Revolution
Vikings
Banshee
Strick back
Merlin
Heros
Spartacus
Alcatraz
Game of thron
arrow
The legend of the seeker
Homeland
Vampire diaries
The originals(v.d)
Alphas
the event
Travellor
Missing
Mkuu mi nimeangalia hizo zoye na nyingine nyingi thou nimeshaangalia 24 and pb twice each lakini bado nakubali kua zilikua ninzuri zaidi ya hizo hapo juu...but ukizitazama nilizo orodhesha hapo juu kwa umakini hutojuta kupoteza muda wako.
Tafuta hizi series zimejaribu kufikia kwa 24
1. Nikita
2. Missing
3. Traveller( hii ipo season 1 ilisitishwa sijui shida ilikuwa nn)
breaking bad iko head 2 head na Game of throne ryt now kama best drama series on television. 2 very awesome series hizi. Ila Agent of shield umebugi, I'm one of the biggest marvel fan ila exploiting Avengers kwa ku2mia hii series was too much. Na nadhan seas itaishia ya kwanza 2 i doubt kama wataendelea tena after all the negative comments it has received. Afu na Falling skies unadiriki kuiweka kwenye list moja na hizo series zingine, are u serious?Nna mashaka kama hata ushawahi kuziona hizi series