kubwalamaadui
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 328
- 51
the sound of music is my favorite,vampire diary,revenge
nimesikia kwa rafiki zangu kuwa imetoka na sasa ipo episode ya 5
kwa kupata entertainment nzuri.. akushauri uagalie Fox kila Monday saa 21pm. kuna series Walkers...(Walking Dead).
imeeenda kiasi.
naomba mnijulishe je ni series gani inaweza kua nzuri kwa kuangalia kila epsod inaipoisha kama ilivyo prison break na 24 .. Iswe ya iwongouwongo (imagimation) . Wala iawe kama vampire diary au true blood . Iwe yenye ureality . Na storry ya maana .
tafuta king to heart ya kikorea ndio utajua kwa nini viongozi wetu wananunuliwa kirahisi na mambo ya bifu baina ya kusini na kaskazin,au swalow the sun ndio utajifunza samaki mkunje angali mbichi kwenye malezi ya vijana