Movie na series unazozipenda

Movie na series unazozipenda

mishale tuuuu,kama wamakone bhana

kama hujaipenda arrow sijui utakuwa unapenda series gn mkuu, episode za mwanzo zilikuwa hazisisimui kuhtaji kuendelea lakini nne na kuendelea mambo yanachanganya mpaka raha
 
Prison break aisee kila ukiitaja lazima niwakumbuke hawa jamaa:Theodore Bagwell, Michael Scofield, Lincon Burrows,LJ, Sucre, C-NOTE, Angent Alex, Dr. Sarah Tinc, Officer Bellick, Lonchero(SONA) SAMMY(SONA) na wengine wengi big up sana kwa waandaaji wa hii seriez ilifikia hatua mtaani nikawa naitwa PB
 
Wakorea wanatiasha sana kwa sasa. Kweli wamenikamata kwenye movie.
 
ROAD no 1 ya kikorea,utamu wa vita uhalisia wa vita.
 
mi si mcheki sirizi ila nilipoicheki game of thrones nikaipenda sana. tatizo sipendi frustrations za kusubiria kila wiki nikaamua nidownload vitabu vyake nisome.

staili yako ya kujisomea hata mimi naipenda tatizo naina vitu vingi nashindwa kuconcetrate ila kwa watz tuendelee inabidi tuwe na tabia ya kujisomea.
 
Ila wenzio huko marekani wameipigia kura ''breaking bad'' kua series bora zaidi ya prison break na 24, yani sijawaelewa kabisa sababu zao maana nimeeangalia hiyo breaking bad season 1 kweli haifikii pb
Wamemtendea haki Walter,breaking bad ni bonge la series
 
Yaani kwa maelezo ya watu wote ... stil wengi wanaikubali Prison Break na Wote kudai kua haijatokea series nyingine kama hiyo ..
Ni kwelj ,Bado saana kupatikana kwa serie kama prison break.
 
The Game of Thrones...hakuna series nzuri kama hii kwa sasa, narudia tena HAKUNA it is like they can't be there two suns, there is only one sun and so far the Game of thrones is the sun.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom