Movie na series unazozipenda

Movie na series unazozipenda

angalia series ya Kikorea inaitwa Athena
 
Mkuu soma kwanza,elewa,tafakari alafu toa jibu...sio unajibu alafu unasoma then unatafakari a.k.a unakurupuka..mimi sikumaanisha hayo yote uliyo yaandika kuhusu mimi.

KWAKUA:jamaa anahitaji series bora zaidi ya pb na 24.

MIMI NAMAANISHA:24 na pb ni series bora kuwahi kutokea kwa upande wangu!lakini pia hakitazama na hizo nilizo zitazama hapo juu(ktk orodha) hatokua amepoteza muda wake maana nazenyewe ataenjoy kiasi chake.

WEWE😛ovu jiiiingi linakutoka.

END:gperngeh

kwa definition yako naona nawe umekurupuka mzee so naomba nirudie maelezo yangu. "Breaking bad na Game of throne ziko head to head kama best drama series on television RIGHT NOW. Agent of shield umebugi(meaning ni horrible na sio ya kumshauri m2 aangalie).......... And unadiriki kuweka falling skies kwene list 1 na hizo other series (which is even more horrible) hence my conclusion ni kuwa nina mashaka hujawahi ziona hizi two series maana mtu mzima hawezi ziangalia hizi series(S.H.I.E.L.D and Falling Skies) na akarecommend kwa m2 mwingine aziangalie (unless anamchukia na unataka kumpotezea mda i.e.). Sina povu brother I'm thee most calm guy on earth.
 
Kuna hizi zinaitwa Alias na nyengine ni Lost,zitafute ila Prison break hawaiwezi kwa kuwa wahusika karibu wote walipatwa na matatizo kwa njia moja ama nyengine,naikubali sana P.B
Nalog off

Lost ina ma imagination sana
 
Sidhani kama imetokea, tusubiri tu 24 inarudi March

Inarudi au inaendelea?
ila kwa sasa itakuwa 12 Hours na sio 24 tena. So we may expect 12 episodes instead of 24 as it was previously aired.
 
24 season 3 sijaipenda na inaboa sana.still bdo naikubali sana 24
 
Angali

Breaking bad
Lie to me
Hostage
Weed

Asikudanganye mtu Breaking bad ni series nzuri kuliko hizo 24 na pb zako... Ina reality na unajifunza kila ukiwa unamaliza kuangalia episode...
 
Breaking bad haikua na haraka kabisa katika kuandaliwa, yaan hakuna aliyekua na haraka kuanzia waigizaji mpaka waandaaji
 
Back
Top Bottom