Movie na series unazozipenda

Movie na series unazozipenda

iyo inahusu kitengo cha oparetion ndan ya MI6 kinavyopambana na ugaid dunian.kashkash zinaanzia Irak ,india,south Africa,kenya,Dafur ,Bosnia,colombia,Lebanon n.k ni ya moto kwel2
 
hii nimeiona mpaka S3 ..ila bado ipo chini ya P.B

s 4 bado japo mtaan ipo na ina epsode 8 ,hii wame download vipande ivo vichache.ukilinganisha na PB kwa mtazamo wng strike Back ni zaid.mf me naikubali sana 24 kuliko PB.ni mtazamo kikubwa ni vitu gan vinakuvutia kwny movie au story za aina gani unapenda.me movie za mazombie sizipend but ndizo zinapendwa na wengi.
 
"Breaking Bad" is the best series ever, in my humbe view.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hostages
Breaking bad
Agent of shield
Under the dome
Falling skies
Nikita
Revolution
Vikings
Banshee
Strick back
Merlin
Heros
Spartacus
Alcatraz
Game of thron
arrow
The legend of the seeker
Homeland
Vampire diaries
The originals(v.d)
Alphas
the event
Travellor
Missing
Mkuu mi nimeangalia hizo zoye na nyingine nyingi thou nimeshaangalia 24 and pb twice each lakini bado nakubali kua zilikua ninzuri zaidi ya hizo hapo juu...but ukizitazama nilizo orodhesha hapo juu kwa umakini hutojuta kupoteza muda wako.

Mkuu nafikiri traveller na event zingeendelea zingefikia kiwango cha 24 na prison break
 
Hapo umenena mkuu..

Traveller ilizuiwa na CIA kutoka na iliaminika inatoa siri zao nyingi....Ila ilikuwa ni bonge ya series....

100% traveller bonge la series pia the event nimeona season one.....kuna ile inahusu sub marine ya kolorado nieisahau jina lake nayo iko poa ila nimeona season one tu.
 
Kuna this series inaitwa burn notice....ni bonge la series na kila epsd unajifunza ki2....kAma unapenda kujifunza kujilinda..
 
100% traveller bonge la series pia the event nimeona season one.....kuna ile inahusu sub marine ya kolorado nieisahau jina lake nayo iko poa ila nimeona season one tu.

inaitwa 'the last resort' mkuu ni hatareee ila bado inaendelea.....
 
Kuna this series inaitwa burn notice....ni bonge la series na kila epsd unajifunza ki2....kAma unapenda kujifunza kujilinda..

My name is Michael Western,I used to be a spy.........bonge la series nalo.
 
Top zangu mimi hizi
Oz
Son of Anarchy
The wire
Weed
 
naomba mnijulishe je ni series gani inaweza kua nzuri kwa kuangalia kila epsod inaipoisha kama ilivyo prison break na 24 .. iswe ya iwongouwongo (imagimation) . wala iawe kama vampire diary au true blood . iwe yenye ureality . na storry ya maana .

Tafuta breaking bad ukutane na wakina gustav fring uta enjoy ndugu.
 
Hostages
Breaking bad
Agent of shield
Under the dome
Falling skies
Nikita
Revolution
Vikings
Banshee
Strick back
Merlin
Heros
Spartacus
Alcatraz
Game of thron
arrow
The legend of the seeker
Homeland
Vampire diaries
The originals(v.d)
Alphas
the event
Travellor
Missing
Mkuu mi nimeangalia hizo zoye na nyingine nyingi thou nimeshaangalia 24 and pb twice each lakini bado nakubali kua zilikua ninzuri zaidi ya hizo hapo juu...but ukizitazama nilizo orodhesha hapo juu kwa umakini hutojuta kupoteza muda wako.

Ndo nimetoka kumalizia strick back,meen i love that movie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom