Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
- Thread starter
- #81
hahaha umkute na sam hongNikiwa na stress nacheki Shaolin Soccer au Police Story za Jack Chan uongo wake utacheka hadi ujambe
hahaha umkute na sam hongNikiwa na stress nacheki Shaolin Soccer au Police Story za Jack Chan uongo wake utacheka hadi ujambe
hiyo signature yako ilivyo na mbwembwe nilifikiri ni tangazo!!MATRIX !!
Spiderman3 ghana version, teh teh wamezid hawa jamaa
nyingine zimezidi km bongo movie eti jini anavua viatu aingie nyumba fulani or jini anaangalia pande mbili ndo akatishe barabaraFilamu zote ni uongo
siangalii, za kabila hiyo. kabisa soon ntazipotezea zoteZA JACK CHAN ZOTE UONGO UMEZIDI
Spiderman3 ghana version, teh teh wamezid hawa jamaa
Huyo Director ni moto wa kuotea mbali mkuu...Wamatekani wanamkubali mno huyo mtaliano.Pulp fiction...director ni quentine Tarantino
Yule karibia mamuvi yake yote ya uongo...ila black mask alipitilizatai chii ya jet lee....uongo mwingi sana mulee!!
Haha haha haha nadhani nimeelewa sasaMsimu...