Movie ambazo zimepitiliza Uwongo

Movie ambazo zimepitiliza Uwongo

True lied..Arnold Schwarzenegger,hahahaha panaponiachaga hoi eti kuna sehemu anakata nondo kwa kutumia gas chini ya barafu kali..pia kuna sehemu limerushwa kombora moto unawaka juu ya maji kama dakika tano hivi.

*True Lies
 
Hahaha za kibongo eti shetani anavuka barabara anaangalia kushoto na kulia km kuna gari
 
Filam zote ni uongo. Ila zipo zinazoshawishi. Mfano series ya breaking bad. Ni noma
 
Duuuh pamoja na uwongo wote biashara inafanyika na ninyi ndo wateja,,,,za ukweli ndo haziruhusiwi kimaadili ,,tuanze kukusanya vipande za video via watsap tu edit,,,najua pia mtasema vyingine vya uongo,,
 
Subiri za Big brother ndo hazina uwongo,,,,au Igiza mbele ya kioo
 
Back
Top Bottom